Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mkuu Anaitwa Philipo Inzaghi sio Paulo InzaghiPaulo inzaghi huyu jamaa alikua balaa
Alesandro del piero,Alesandro Nesta,Demetrio Albertini,Paolo Maldini,Clarence seedof,Dida,Genaro Gatusso,Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
Filippo pippo inzaghiPaulo inzaghi huyu jamaa alikua balaa
hyo njemba gattuso ilikuwa kiungo mkabaji hatari sana nlipenda agression moves zake na agilityUnaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
Paul MaldiniUnaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
Kwangu mimi Inzaghi ni mviziaji bora wa wakati wote!Filippo inzaghi huyu jamaa alikua balaa
kwanini mkuu?moja kati ya fainali mbovu kabisa kuwahi kutokea duniani toka niufahamu mpira
Del Piero hajawahi cheza Ac MilanAlesandro del piero,Alesandro Nesta,Demetrio Albertini,Paolo Maldini,Clarence seedof,Dida,Genaro Gatusso,
Kutoka kushoto waliosimama;Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
Mkuu soka la italia sijui limekumbwa na pepo gani?! Kama ilivyo kwa sasa spain wachezaji bara ulaya walikuwa wakitokea serie A. Gang Chomba tafadhali pita hapa.Kutoka kushoto waliosimama;
El Capitano Paolo Maldini, Dida, Shevchenko, Kakha Khaladze, Seedorf, Nesta.
Waliochuchumaa kutoka kushoto;
Inzaghi, Rino Gattuso, Andrea Pirlo ( The Brain of Milan ), Alessandro Costacurta na Rui Costa ( Maestro ).
Hakuna aliyetoka salama pale Sansiro wakati kikosi hiki kikiwa katika ubora wake. Kuna nyakati Ac Milan hii ilikuwa na Beki bora wa Ulaya, Kipa bora wa Ulaya, Mshambuliji bora wa Ulaya.
Leo hii licha ya uwekezaji mkubwa, Ac Milan bado inachechemea na wala haitishi kabisa.
Sorry Del Piero alikuwa Kibibi kizee cha Turin aka Juventus...unajua Mzuka ulinipanda mpaka nikawa naonganisha wachezaji tuu....unaweza kujikuta unataja tuu DEL PIERO,MORIERO,DI BIAGIO ETCDel Piero hajawahi cheza Ac Milan
Na ulivyokuwa una mtaani,chaaa!Mimi namkumbuka Totti wa As Roma.
Jamaa sasa hivi ndio kakabidhiwa timu hadi mwisho wa msimu.hyo njemba gattuso ilikuwa kiungo mkabaji hatari sana nlipenda agression moves zake na agility