Ac Milan: Miamba ya Soka iliyotikisa Ulaya miaka ya 2000

Nafikiri uwekezaji ndio umechangia soka la Italia kushuka miaka hii.

Zamani wawekezaji wengi wa kubwa walipenda sana serie A baada ya EPL na hata mishahara yao ilikuwa ni mikubwa na ndio maana hata wachezaji wazuri wengi walikimbilia italia, nakumbuka hata wachezaji waliokuwa wananunuliwa kwa dau kubwa walikuwa wanachezea Italy mfano Zidane.

Siku hizi serie A imekosa mvuto kabisa sababu hakuna vipaji vya kutisha kama zama zile
 
Word....
 
Jamaa sasa hivi ndio kakabidhiwa timu hadi mwisho wa msimu.
Lakini utakumbuka Malegend wengine wazamani wa Ac Milan walishapewa nafasi wakaishia kuchemsha. Kuna Seedorf na Inzaghi ngoja tuone Gattuso atakuja na jipya gani. Ila kwa kifupi Ac Milan ni sikio la kufa
 
Labda wachezaji hawata muangusha, lakini gattuso ni burudani sana itabidi nianze kufuatilia game za ac Milan kwa ukaribu
 
Aisee wote waudanande ila kwangu rui costa, seerdorf na bwamdogo pirlo kipindi hiko, aisee walikuwa wananikosha mnoo
 
Aisee rui costa alikuwa ni maestro kweli kweli
 
Lakini utakumbuka Malegend wengine wazamani wa Ac Milan walishapewa nafasi wakaishia kuchemsha. Kuna Seedorf na Inzaghi ngoja tuone Gattuso atakuja na jipya gani. Ila kwa kifupi Ac Milan ni sikio la kufa
ila kwa kumfukuza seedorf walibugi sana. Aliibadilisha sana timu kwa kipindi kifupi tena kwa wachezaji ambao walikuwa wamesajiliwa kutoka kwenye kusugua benchi kwenye timu zao. Lakini Seedorf alifanikiwa kuifanya timu icheze soka la kuvutia na kufanikiwa kuipandisha timu hadi nafasi ya saba. Sijui walitumia kigezo kumfukuza labda huenda labda uweusi wake umechangia wamtimue.
 
Hahaha kwahiyo ukahama ac milan
Halafu kuna haka katoto ka juzi kanaiponda AC Milan kisa kameanza kufuatilia soka baada ya kumiliki mobile phone.

Tafuta hela masikini wewe
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Tafuta hela masikini wewe
Naona unajipa matumaini hewa,masikini wa mwisho wewe.

Tafuta hela masikini wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…