AC Milan vs Man UTD...

Ni masaa machache yamebaki kabla hatujaenda kushuhudia maajabu....
 
game inaonyeshwa TV gani leo, je TBC1 wanaonyesha.
anayejua anaieleze tafadhali
 

Afu nyie washabiki wa man mbona mmefulia ivo?
Hii sredi isha-expire anzishen nyingine au muendelee na ile sred yenu ya man u tu.
 
Ni masaa machache yamebaki kabla hatujaenda kushuhudia maajabu....

Duh! Mkuu inaonekana unausongo kweli. Mpira ni 90 + minutes nafikiri tungoje muda huo upite ila any team is capable for going forward as both teams have same number of players. Ila mtu akiniambia kuweka pesa basi ntasema Man U will go ahead kwa sababu zifuatazo.
1. Wakitoa sare ya aina yoyote bado Man U wanasonga mbele
2. wafungwa 1-0 bado wanasonga mbele.
3. wakifungwa 2-1 bado wanasonga mbele
4. uwezekazo wa kufungwa 2-0 old trafford ni mdogo sana japo is a possibility.

Conclusion: Mpira ni 90+ Mins
 
tbc1 hawaonyeshi live, hiyo ni game ya pili baada ya real.
je wapi wanaonyesha ya manu live

Mkuu naona kama uko bongo matokeo yatakuwepo hapa hapa jukwaani minute by minute, na wengine wanaweza kuweka links za internet. Kama Iraq TV nk.
Hivi kweli JF members walio TZ wameshindwa kujibu hili swali? Anyway lakini ndio hivyo hata picha za Ikulu ya Bagamoyo inayojengwa jamaaa wameshindwa kuleta picha itakuwa soka?
 
Kuna timu leo itafungasha virago na kuyaaga haya mashindano.
 

ndio nimeingia bongo na internet niliyo nayo ni usb ya voda iko slow haiwezi live streaming, nitakuwa nacheki update bbc
 
Game bado kidoooogo sheikh...
Milan tuko oldtraford tukiongozwa na jembe...
Muheshimiwa Adriano Galliani...
Forza Milan
 
Channel ten wanaonesha LIVE...Game inaanza in 20mins to come from the time this msg sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…