BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Sijakimbia sheikh lakini nina wakati mgumu sana hapa nilipo.
kuna wachezaji wa Milan wamenisononesha saaana.
hakika Milan ni timu kipenzi changu na najivunia hilo.
Ila narudia KUNA WACHEZAJI WA MILAN WAMENISONONESHA MNO.
Finally umeonekana,nilidhani uko buzy na lasagna)):ha ha
Pole kwa kufungwa, tusubiri marudiano!!...Ipongeze Man U basi..