Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Mara ya mwisho Milan Kumfunga Man ndio mara ya mwisho Man kumfunga Milan
First Leg ilikuwa
Man U 3 AC Milan 2(OT)
Second leg
Milan 3 Man 0 (San Siro)
Short, clear n' direct to the point.........Man watashinda!..
Mkishaandika hivi huwa kawada yenu mna-log off na kuanza kuchungulia kuona hali inakwendaje... NJOO! Mechi ianze ukiwa hapahapa... Leo mnalo hahahahaMan watashinda!..
Mkishaandika hivi huwa kawada yenu mna-log off na kuanza kuchungulia kuona hali inakwendaje... NJOO! Mechi ianze ukiwa hapahapa... Leo mnalo hahahaha