AC Milan vs Man UTD...

AC Milan vs Man UTD...

Mara ya mwisho Milan Kumfunga Man ndio mara ya mwisho Man kumfunga Milan
First Leg ilikuwa
Man U 3 AC Milan 2(OT)

Second leg
Milan 3 Man 0 (San Siro)

Kila la heri game ya leo mtani...Ila kila wakati nawazia sare mechi hii,hope mtajitutumua mkawachapa hawa wazee pale San Siro..Kila la heri
 
Nimewaona AC Milan wakicheza kwenye serie A mara nyingi msimu huu na sioni kama wanaweza kuwafunga Manu. Timu hii si kama ilikuwa chini ya Ancelloti na naona Leonardo bado anakazi kubwa sana.

Hivyo kwa wapenzi wa Manu msiwe na wasi wasi, leo mtashinda 1 bila au 2-1.
 
Waache wakapambane na Beckham mtoto mtukutu.
 
AC Milan: Dida, Bonera, Nesta, Thiago Silva, Antonini, Beckham, Ambrosini, Pirlo, Pato, Ronaldinho, Huntelaar.

Man Utd: Van der Sar, Rafael, Evra, Ferdinand, Evans, Carrick, Park, Scholes, Fletcher, Nani, Rooney.
 
Mkishaandika hivi huwa kawada yenu mna-log off na kuanza kuchungulia kuona hali inakwendaje... NJOO! Mechi ianze ukiwa hapahapa... Leo mnalo hahahaha

Lakini si ndio kila siku tunasema maneno mengi ngoma ikianza wanakimbia hasa maarufu Peasant, Masanilo, Invisible et al . Namna hii safi sana mambo yote hapa wale Mafia watoaji fweza wajue tunajua.
 
Keep on praying vijana tufungwe then mshangae.....
 
Hahahahahahahahahahaha!

Cha kwanza hicho....
Vibonde utawajua tu
 
Huyu TEJA anatafuta nini humu San Siro?
 
Khe khe Beck Ronaldinho combi 1 up mtakoma na Gang
 
Just imagine:

21 (7 members and 14 guests) - Guests ni wengi kuliko registered members... Hawa guests ni Man Utd fans hahahaha
 
Back
Top Bottom