AC Milan vs Man UTD...

AC Milan vs Man UTD...

Goli hilo khe khe khe 1 - 1, AC watajutia magoli waliyokosa khe khe
 
Bora tu umeguna maana mziki mnene naona!..leo hushangilii Man?

...najifikiria bado,
ngoja niendelee kunywa chai yangu hapa..baada ya dkk 90 nitajua nimshangilie nani 🙂
 
SAF naona his famous hairdyier leo Evans kaiona....
 
Mkuu unauliza majibu? Mie nina enjoy tu hapa wala hakuna shaka wewe ndio kiroho juu.
Karibu then uone talents, timu yako nusu timu wako Dispensari, wajua hilo?
 
Asa mashetani wenzangu ka hata kusign inn ni tatzio basi baneni 'nanii hii' za kushoto wote, coz humu San Siro ni ka kuna nguvu za Kkbe!
 
Karibu then uone talents, timu yako nusu timu wako Dispensari, wajua hilo?

Tumepeleka Carling cup outfit unasemaje? Utawaona kesho yaani mtondogooooooooooooooo.
 
Dihno ndio anazingua..atoke na PATO nae njee toa!
ha ha ha dinho anataka sifa leo utamwambia nini.beckham hajui anachezea timu gani naona anashangaa shangaa tu bora aka kae bench achague timu ya kushangilia.
 
_47315805_milan_afp.jpg
 
Kwinsheniiiiii, kagoli kamoja katatubeba tu OT.....waanadike wameumia Theatre of Dreams.
 
Back
Top Bottom