Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Wenzio wanafikiria kuanza ku-log in... Waache waje lolKwinsheniiiiii, kagoli kamoja katatubeba tu OT.....waanadike wameumia Theatre of Dreams.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio wanafikiria kuanza ku-log in... Waache waje lolKwinsheniiiiii, kagoli kamoja katatubeba tu OT.....waanadike wameumia Theatre of Dreams.
Y nicpende?Vipi Dude hupendi?
What mataz ni kagoli kamoja......izo stori nyingne chunia tu.Gmae ya leo ni sare ama Manure wachezea kichapo.....3-1
Y nicpende?
BTW; Weka basi na picha zetu, au JF inagoma ku-upload picha za mashetani?
jamaa ni muandishi wa habari ,kazi yake haimruhusu kuongeza chumvi lol.Mwanzilishi wa thread kageuka kuwa msomaji wa thread, hachangiii...vipi BP au Presha?
hao madrid siwapendi hao ,waache wafungwe tu.Lyon keshamtungua Real Madrid 1-0
Belinda mama, mbn umeniacha peke angu mimi swala katika mbugha za Simba hawa?, uko wapi tusaidiane?