grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 245
- 331
Nadhani kuna ulazima wa uwepo wa openness and transpirancy kwene contracts zote zinazohusu rasilimali za nchi yetu,huenda tukaepuka tena kupoteza mabilioni ya hela kiholelaholela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,kwani msimamo wa government auditor kuhusu hili uko vipi?sijaskia lolote kuhusu upande waoSheria ifwate mkondo wake,let there be free ruling on this,Tanzania tumepoteza mabilioni ya fedha ambazo zingewekezwa katika sekta muhimu zinazosuasua mwananchi wa kawaida angeweza kunufaika ila kwa sababu ya ufisadi na utowajibikaji kwa baadhi ya viongozi serikalini tunajipata kama taifa tukipoteza mambo mengi!
So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana
Fu.iku, resove na mwizi. Acha kwanza taratibu za kisheria zifuatwe ili tujue wanatulipa kiasi gani. Na lazima walipe
So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana
So ile loss ni revenue au cost. If cost the revenue is 115 times cost/mrahaba ni kiasi gani so far collected from 115 times 365 times number years in opearation Tanzania.Kama 30% ya revenue ni Gold ya kwenye mchanga na umezuiwa, lazima waingie hasara. Mbona mahesabu rahisi sana. Project kama hizo huwa ni capital intensive. Profit unaweza kukuta ni 15% of the revenue
Kwa kweli wala sioni sababu ya kuwepo hawa wezi hapa Tanzania. Serikali inatakiwa kutaifisha sio kukaa meza moja na hawa wezi. Ikiwa mchanga wanawapa faida je hizo dhahabu na madini mengine wanayapeleka wapi? Wapuuzi sana hawa ACACIA, Serikali iwafilisi haraka sana. Wasitutishe kama kufunga waufunge na wakamatwe kwa kuhujumu uchumi pamoja na Chenge na genge la wenzake wakina Mkapa na Kikwete
Halafu majitu yanakuja na povu kupinga kila kitu kinacho fanyika kweli!!!!
Bahati mbaya unaijua acha bangiKwahiyo unataka tumuache mwizi alietuibia kisa tumeacha mlango wazi bahati mbaya?
So ile loss ni revenue au cost. If cost the revenue is 115 times cost/mrahaba ni kiasi gani so far collected from 115 times 365 times number years in opearation Tanzania.
Upo sawa ndio maana waweza kukadiriwa kodi basing on your cost. I want to estblish the estimate revenue being generated for tax purpose.Kaka, cost za mining company ziko kwenye operations. Baada ya hapo profit ni kwenye mauzo ya hiyo precious metal. Usipo uza, cost yako iko pale pale. Profit and loss can be pro rated i.e. quarterly, monthly au hata daily. Dala dala ikiharibika na kusimama huwezi kupiga mahesabu unapoteza kiasi gani kwa kila saa?
Umeelewa vema kilichoandikwa???Watu wameiba tangu wakiwa Barric Gold tunakuja kulialia wakiitwa Acacia na all days mliambiwa hawa wanaiba mkajifanya viburi,wako wapi wabunge walioshabikia?
Which matter to resolve? Let them go and small holders will take over and money will stay in the countryI think is the time government to wake up and resolve the matter