Tumeibiwa sana, tena sana ila wasiwasi wangu ni hii report kutoaksi ukweli, Sisi kama wachumi tulitaka Report ya ukweli ili tuichambue na kutoa majibu sahihi kwa maendeleo ya taifa leo.
Najua kwa mtu aliyesoma au anayefanya Biashara anajua kitu kinaitwa Operating Cost.
Ili tujue tunaibiwa Kiasi gani, inabidi tujue Price of minerals(gold, Copper, Silver..) in Tanzania sio huko Uk, the Operation cost mpaka unapata hayo Makanikia ndio tujue faida. halafu tukokotoe hiyo faida(Tax,....) tuone tunaibiwa shilingi ngapi. Sio kutumia Selling price ya soko la dunia eti ndicho tunachoibiwa as if huyo investor anaokota hayo madini juu ya arthi kama mchanga wa bahari.
Narudia tena tumeibiwa sana na simutetei huyo mwekezaji wala sina hisa naye ila ukweli ni kwamba kuna process ndefu ili upate madini(Running Cost).
- Exploration
- Surveing
- excavating
- Drilling of rock
- ...
- ...
- ...
- Manpower
- Machineries
- Theft
- Processing
- transportation
- Sinking Cost
- Marketing & marketing
- Interest from Banks
- Consultation
- Insurance .......................
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo tulihitaji yawepo kwenye report pamoja na
Mkataba wenyewe ili wachambuzi tuliyibobea tuyafanyie kazi halafu tutoe ushauri nini kifanyike, ila kama ndio riport inasema kilichomo kwenye makanikia tu hiyo itakua report ya kujinyakulia umarufu wa kisiasa ambao ndio iliyotufikisha hapa tulipo.
Bila kusahau hadi leo watanzania wanamsifia Nyerere kwa Maamuzi ya kutoruhusu uchimbaji madini miaka hiyo eti kwa kisingizio cha kuibiwa maamuzi ambayo ni ya **** kwelikweli. poor administration system kwani mwenye nyumba lini akajua kujenga gorofa ila anajiri wasomi(Engerneer) kumjengea kutokana na usimamizi mzuri na haibiwi.
Tatizo hapa ni
mkataba! mkataba! mkataba! mkataba! Mibovu sio Makanikia. na magufuli ni sehemu ya tatizo kwani alichangia hata juzi kupitisha mikataba ya gas kwa hati ya dharura. "The problem cannot be Solved by the same person who created it"