ACACIA Mining PLC set to close loss-making mine as Tanzania export row deepens

Nadhani kuna ulazima wa uwepo wa openness and transpirancy kwene contracts zote zinazohusu rasilimali za nchi yetu,huenda tukaepuka tena kupoteza mabilioni ya hela kiholelaholela.
 
mkuu
,kwani msimamo wa government auditor kuhusu hili uko vipi?sijaskia lolote kuhusu upande wao
 
So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana

Wakishikwa pabaya wanakimbilia kusema kampuni inapata hasara, they've been saying this karibu miaka yote 19 lakini kuondoka hawaondoki - kama hawapati faida kwa nini awaondoki zao? We don't really need them- do we? Sina shaka Taifa hili limekwisha somesha wataalamu wa kutosha they can take over au wa-run kampuni na wawekezaji wenye nia nzuri ya win win situation na sio kukalia kuwanyonya Watanzania.
 
Shenzi taipu, yani makapi ya mchanga wanayoyaita ni hasara yasababishe kufunga mgodi? Haiingii akilini hata kidogo!
Majizi makubwa haya. Tanzania is no longer a Shamba la Bibi. We want to benefit from our natural resources
 
Baada ya kuchimba madini ya kutosha kwa miaka leo hii wanatuachia mashimo. Nilichogundua matatizo katika sekta ya madini yanasababishwa na viongozi tuliowapa dhamana wasimamie hizo rasilimali, wanasaini mikataba hovyo ili wapate 10%.
 
I million for 365 days means equivalent to profit of TZS 700 billion corporate tax being 201 billion leave wht and paye. Thats good estiamte of loss to work on Taxtion angle.
 
Fu.iku, resove na mwizi. Acha kwanza taratibu za kisheria zifuatwe ili tujue wanatulipa kiasi gani. Na lazima walipe

WAENDE TU LOSERS.....https://jamii.app/JFUserGuide OFF NOW
 
Acacia ni bora wakafunga tu na kuondoka. Wafanyakazi wao wanaopata injury kazini wanaachwa vilema na kufukizwa kazi bila fidia za maana zilizopo kwenye sheria za kazi.

Vijiji vya jirani vumbi tupu hata kuweka lami wameshindwa. Sana sana watapunguza magonjwa Kakola na kahama.
 
So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana

Kama 30% ya revenue ni Gold ya kwenye mchanga na umezuiwa, lazima waingie hasara. Mbona mahesabu rahisi sana. Project kama hizo huwa ni capital intensive. Profit unaweza kukuta ni 15% of the revenue
 
Kama 30% ya revenue ni Gold ya kwenye mchanga na umezuiwa, lazima waingie hasara. Mbona mahesabu rahisi sana. Project kama hizo huwa ni capital intensive. Profit unaweza kukuta ni 15% of the revenue
So ile loss ni revenue au cost. If cost the revenue is 115 times cost/mrahaba ni kiasi gani so far collected from 115 times 365 times number years in opearation Tanzania.
 

Acha povu mkuu!! Hawana makosa yoyote hawa. Wanachofanya ndicho walichokubaliana na serikali ya CCM kwenye mikataba na hawa wanaokomaa leo walikuwepo wakati mikataba hii ya kifisadi ikisainiwa. Kwahiyo, tunajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe.
 
Halafu majitu yanakuja na povu kupinga kila kitu kinacho fanyika kweli!!!!

Watu hawapingi kinachofanyika bali hatua zinazochukuliwa ni sawa na mtu anayeangalia alipoangukia badala ya alipojikwaa. Haya ni mambo ya kisheria na mikataba hiyo walisaini na serikali hiyohiyo ya CCM na wabunge wa CCM wakaipitisha bungeni. Sasa kama kuna mapungufu kinachotakiwa ni kukaa mezani na kujadiliana. Ubabe utatugharimu hapa kama ulivyotugharimu kwenye sakata la samaki.
 
So ile loss ni revenue au cost. If cost the revenue is 115 times cost/mrahaba ni kiasi gani so far collected from 115 times 365 times number years in opearation Tanzania.

Kaka, cost za mining company ziko kwenye operations. Baada ya hapo profit ni kwenye mauzo ya hiyo precious metal. Usipo uza, cost yako iko pale pale. Profit and loss can be pro rated i.e. quarterly, monthly au hata daily. Dala dala ikiharibika na kusimama huwezi kupiga mahesabu unapoteza kiasi gani kwa kila saa?
 
Upo sawa ndio maana waweza kukadiriwa kodi basing on your cost. I want to estblish the estimate revenue being generated for tax purpose.
 
Watu wameiba tangu wakiwa Barric Gold tunakuja kulialia wakiitwa Acacia na all days mliambiwa hawa wanaiba mkajifanya viburi,wako wapi wabunge walioshabikia?
Umeelewa vema kilichoandikwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…