Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

johannesburg ilianza kuchimbwa 1880, kahama 1990.
 
Nasikia na jamaa wa Gas hawataki kuwekeza ile LNG kwa sababu mkubwa hutaki kusikiliza wameamua wamwachie Gas yake. Kampuni nyingi zimefunga ofisi zimeamia Mozambique kule kuna Gas nyingi kuliko kwetu, serikali haiwabughudhi wawekezaji na inashirikiana nao.
 
johannesburg ilianza kuchimbwa 1880, kahama 1990.
Unajifariji? Kwa hiyo unataka Kahama nayo ichukue miaka 100 kuendelea kutokana na uchimbaji wa dhahabu? Hivi huoni mazingira wezeshi ya kuendelea sasa ni rahisi kuliko yalivyokuwa enzi hizo?
Malaysia imeendelea kuanzia miaka ya 1990, leo watoto wa Kitanzania wanakimbilia kwenda kusoma huko!!

Halafu wewe bozo unataka Kahama ichukue miaka 100! Hivi toka paanze kuchimbwa Kahama kumeendeleaje, kama hata huduma za msingi (maji, umeme, elimu, barabara) bado ni hoehae!!??

Ebu fikiria kwa mapana na uone aibu chifu.
 
hata kama nikikueleza hutanielewa ni bora nikae kimya
 
Acacia waache siasa..toka lini wafanyakazi wanaopunguzwa ukawafanyia party!
 
Watu wengine bana...hata ungeandika kwa Kiswahili bado usingeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…