enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Siamini kama naendelea kubanana kwenye mwendokasi.......maskini nlikuwa nshaenda hadi VETA.Maskini Noah zetu.... dah!
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kama naendelea kubanana kwenye mwendokasi.......maskini nlikuwa nshaenda hadi VETA.Maskini Noah zetu.... dah!
![]()
Kubwaga manyanga ni pale watakapokubali kutoa fedha za Noah.![]()
More to follow...
Bashite unachekesha u naandika mwenyewe na kujijibu cha kuchekesha hajui kuwa tumesha ingia kwenye ressecion uchumi umeanguka puu utachukua miaka 20 kuanza kukuwa uchumi unadhani ulikuwa kwa asilimia 6 -7 kwa sababu ya maanasi na matikiti ya chato au kuku wa kienyeji wa karomije ni kwa sababu ya hela ya kigeni iliyopatikana toka migodiKama hiki Kitu kimetolewa na Informer Kitakua na Ukweli Ndani yake Ni Muda wa Kutuachia Mgodi wetu dhahabu haziwezi Kuoza.
Kalaghabaho, tumebakiziwa mashimo. Washakula vinono vyote pamoja na CCM.
Vipi kuhusu bajeti yenu mliyopanga kwa kupigia mahesabu ya kodi hiyo ya ACACIA namigodi mingine ni nani atafidia?Kama hiki Kitu kimetolewa na Informer Kitakua na Ukweli Ndani yake Ni Muda wa Kutuachia Mgodi wetu dhahabu haziwezi Kuoza.
[emoji3] [emoji3] [emoji3].....
.....kwa Baraka za CHAMA
Hakuna kwakuwa ilikuwa ni changa la machoMkuu mshana hakuna dawa yoyote ya kuwafanya hawa jamaa watupe Noah zetu!?
Tuwaache tu waondoke ccm iiwalea sanaKwanini wanafunga mgodi wakati serikali haijazuia biashara yao kuu -dhahabu? Au Makinikia yana faida kuliko dhahabu?
WalipewaSi mliwapa? Leo mnawaita wezi duuh!
Asante lakini hayo yote waliyofanya ni tofauti kabisa na super super profit waliyopata... Na kwakweli wamefanya kwa kiwango cha chini mnoKaka mshana wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana na haitatokea nikujibu kwa namna yoyote mbaya ila ndugu fanya utafiti utagundua kuwa hawa watu kuna mambo mengi sana Mazuri waliyowekeza huko. Nakutajia baadhi ya mambo positive
1: Wameboresha miundo mbinu (barabara ya kutoka mgodini hadi Kahama pamoja na Ile ya kutoka mgodini kwenda Nyamtukunja (kwenye ziwa Victoria
2: Wamevuta maji kutoka ziwa Victoria na wameacha vituo vya kuchota maji kila kijiji lililopita bomba na kipindi kikali cha kiangazi wananchi wamekuwa wananywesha mifugo.
3: Wamejenga shule za kisasa za Secondary hususani ya Bugarama na Bulyanhulu
4: Wamejenga nyumba za walimu za kisasa katika kata Tatu zinazozunguka mgodi
5: Hospital ya kisasa ambayo haipo mkoa mzima wa Shinyanga na ipo Bugarama
6: Ajira na mishahara ambayo labda uwe mkuu wa wilaya kuipata.
7: Miundombinu ya umeme na tayari kabla ya makinikia walikuwa wameshaplan kuleta maji ya ziwa Victoria kwenye vijiji kadhaa vinavyozunguka mgodi.
8: Nyumba zao walizojenga kwa ajili ya wafanyakazi zilizopo Ilogi na Bugarama hakika zimefanya maeneo hayo kuonekana kama mjini kabisa.
9: Stand na soko lililopo Bugarama na hadi sasa limekuwa chanzo kikubwa cha mapato katika wilaya ya Msalala. Mengine siyakumbuki
NB: Huko ni nyumbani so kila updates nazipata na nishawahi kuwa miner hapo mgodini
CCMNani aliwapa mikataba???
System haikurupuki na haitakaa ikurupuke Vyote ulivyotaja ni faida wanayopata kwa sku 2...kama hawako tayari kubadilika waondoke tu
ni kwasababu ya ujinga wetu. Tumeshindwa kuchagua watu makini. Tukaishia kuchagua mashabiki wa vyama!Wakwendreeee kureee nyamafu hawa! Wameiba mpaka wakavimbiwa
[emoji6] [emoji6] [emoji1] [emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Waondoke tu, faini za barabarani zitatosha kuendesha nchi ya viwanda.