Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

nimepoteza hela yangu bure kwenda driving school maana noah zenyewe zinazidi kuyeyuka
 
Ha ha ha kumbe jamaa alikuwa anawasaidia hawa wakubwa...jamaa akaona isiwe tabu nj kumzima tu....duh naenda zimbabwe
 
Mkuu aliwahi kudokeza ,kama kuna watu wako tayari kuleta teknolojia kubwa kwenye ujenz wa barabara ,madaraja na the likes kwanini watu haohao wasitukodishie bucket wheel excavators na mitambo mingine tufanye kazi wenyewe
 
Hayo madina ilifaa tuyachimbe wenyewe. ila hilo litakuwa ni tatizo sana kwa watu wasio julikana.
 
Hivi HaWa accacia wakiondoka nasi tukianza kuvuna dhahabu kwa kutumia zana zetu, je tutaingiza hiyo dhahabu kwenye masoko gani? Naomba msaada kwa wale wanaoelewa uchumi wa madini duniani namna unavyoendeshwa.
Mkuu uchimbe kwa jembe?
 
Back
Top Bottom