Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Today price [emoji115]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
English ni tatizo mpaka kwa jf experts![]()
More to follow...
Jifariji tu hapo umeachiwa mahandaki tuKama hiki Kitu kimetolewa na Informer Kitakua na Ukweli Ndani yake Ni Muda wa Kutuachia Mgodi wetu dhahabu haziwezi Kuoza.
Hahahahahahahahahahaah..... I love this...!!!!Tafadhali uvae ile ya pink niliyokununulia Jakarta...
kwani hayo mazungumzo hayajesha tu"One team"
Hayo maneo mawili mnapaswa kuyaelewa kabla ya ku-conclude na msisahau kuna mgodi mmoja unakaribia kufungwa.
Vile vile hii ni ishara kuwa mazungumzo hayana dalili ya kuleta muafaka zaidi ya kupelekana mahakamani.
Kuna mgodi au dhahabu sasa hapo!hapo tumeachiwa mapango ya Amboni!!!!!!!!!!!!Kama hiki Kitu kimetolewa na Informer Kitakua na Ukweli Ndani yake Ni Muda wa Kutuachia Mgodi wetu dhahabu haziwezi Kuoza.
Kweli mkuuNa hasa za bodaboda[emoji3] [emoji3]
Unauhakika bado ipo?Kama hiki Kitu kimetolewa na Informer Kitakua na Ukweli Ndani yake Ni Muda wa Kutuachia Mgodi wetu dhahabu haziwezi Kuoza.
Taarifa niliyonayo kutoka kwa kaka yangu ambaye amepewa mwaliko wa kuhudhuria kama kiongozi wa kiserikali maeneo hayo ni kuwa, kesho Meneja mkuu wa mgodi anaondoka rasmi kurudi kwao. Ameandaa sherehe ya kuwaaga madiwani na watendaji wa kata pamoja na viongozi mbali mbali wengine. Barua ya mwaliko ninayo alinitumia kama picha. Ukweli ni kuwa bila mgodi wa Bulyanhulu hakuna Kakola, Bugarama wala Ilogi na halmashauri mpya ya Msalala itasota sana![]()
More to follow...
Kaka mshana wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana na haitatokea nikujibu kwa namna yoyote mbaya ila ndugu fanya utafiti utagundua kuwa hawa watu kuna mambo mengi sana Mazuri waliyowekeza huko. Nakutajia baadhi ya mambo positiveWakwendreeee kureee nyamafu hawa! Wameiba mpaka wakavimbiwa
mkuu hivi na segese ipo msalala?Kaka mshana wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana na haitatokea nikujibu kwa namna yoyote mbaya ila ndugu fanya utafiti utagundua kuwa hawa watu kuna mambo mengi sana Mazuri waliyowekeza huko. Nakutajia baadhi ya mambo positive
1: Wameboresha miundo mbinu (barabara ya kutoka mgodini hadi Kahama pamoja na Ile ya kutoka mgodini kwenda Nyamtukunja (kwenye ziwa Victoria
2: Wamevuta maji kutoka ziwa Victoria na wameacha vituo vya kuchota maji kila kijiji lililopita bomba na kipindi kikali cha kiangazi wananchi wamekuwa wananywesha mifugo.
3: Wamejenga shule za kisasa za Secondary hususani ya Bugarama na Bulyanhulu
4: Wamejenga nyumba za walimu za kisasa katika kata Tatu zinazozunguka mgodi
5: Hospital ya kisasa ambayo haipo mkoa mzima wa Shinyanga na ipo Bugarama
6: Ajira na mishahara ambayo labda uwe mkuu wa wilaya kuipata.
7: Miundombinu ya umeme na tayari kabla ya makinikia walikuwa wameshaplan kuleta maji ya ziwa Victoria kwenye vijiji kadhaa vinavyozunguka mgodi.
8: Nyumba zao walizojenga kwa ajili ya wafanyakazi zilizopo Ilogi na Bugarama hakika zimefanya maeneo hayo kuonekana kama mjini kabisa.
9: Stand na soko lililopo Bugarama na hadi sasa limekuwa chanzo kikubwa cha mapato katika wilaya ya Msalala. Mengine siyakumbuki
NB: Huko ni nyumbani so kila updates nazipata na nishawahi kuwa miner hapo mgodini
Waondoke tu, faini za barabarani zitatosha kuendesha nchi ya viwanda.
Ndiyo lengo kuu la CCM hilo.Kuondoka CIO solution wataenda kufungua kezi tutajalipa hela ambayo tutauzwa wote
Wanaondoka lakini si ajabu wakaibukia mahakama ya usuluhishi.Bora walau hili tuachane nalo hata kama limetula lakini inatosha
Mtetezi wao yuko Nairobi kesho BAVICHA wanamuombea Sala Maalum huko Dar es Salaam; wambie wasubiri kidogo.Maskini Noah zetu.... dah!
![]()