Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

Kama kweli wanaondoka ni pigo lingine kwa TL aliyewafikiria ndo watasaidia matatizo ya kampuni yake na kumwingiza ikulu 2020.

Pole zake zote.
bdabd4e8dab4b80d8777965ab3282180.jpg


More to follow...
 
Nchi yakusadikika, tunaachiwa mashimo Mali ishaliwa
 
Hawawezi kufunga kama wanafunga kiosk. Hilo ni kampuni liko listed NYSE, LSE, TSE na hata kaDSE. Lazima watatangaza rasmi kuwa wanafunga kabla ya kuchukua hatua kama hiyo. Kwa sasa wametangaza wako kwenye Care and Maintenance, ambayo ni aina fulani ya kustopisha shughuli zote za uzalishaji. Hata Dangote walifanya hivyo walipozuiwa kuagiza makaa ya mawe kuyoka Afrika Kusini. Pia ni namna ya kiutu uzima kutangaza kuwa hauridhiki na hali inavyoenda.

The fact kuwa watu wanaweza kufikiria wanafunga ni muendelezo ule ule wa uswahili wetu, uliojikita katika fitna, vijicho, ulaghai nk. Huu uswahili unafanya tufikiri na wengine wanaweza kufanya vitu vya ajabu ajabu.
 
waende zao wezi wakubwa hawa,mchango wa sekta ya madini ni mdogo mno kwa uchumi wa nchi hii akheri ibaki ardhini hiyo raslimali yetu
 
Weziiiiiiiiiii haoooooooo kamataaaaaa leteeeee petroooooooool chomaaaaaaaa haoooo weziiiiiiiiiiiii wa mali zetuuuuuuu chomaaaaaaaaaaaa... Majiziii makubwaaa... Bastard haya, eti 'One Team Farewell' i wish to bury them alive..

Mh. Rais wetu mpendwa kawakaba majizi ya nchi yetu.. naomba serikali iwashtaki hawa Acacia walete zile $ 190 bil... Plz plz, wakiondoka tu haya majizi, serikali ifungue mashtaka idai fedha zetu walizotuibia for 19 yrs... Mxxiuuow
 
Wazungu wakiwa wanaiba Madini yetu na CCM Kuukataa Wizi ndo wanaua Nchi Shame!
Ni lini CCM iliwahi kuukataa uwizi wa raslimali za nchi hii?? [emoji56] [emoji87]
Ni mwaka juzi tu mlilazimisha kupitisha usiku wa manane sheria ya Gas na mafuta!! Ambayo nayo hamwezi kuitengua kama ilivyo kwenye dhahabu. Shame on U ccm !!
 
Kuliko kuendelea kuibiwa bora waondoke tu watakuja wengine ambao watakua tayari kwa mikataba ya win win situation wametuibia sana...Let them Go
Unasahau kwamba madini ni no renewable resource kwa kuzingatia lifespan ya binadamu!
 
kwani one team farewell event kwa kiswahili maana yake ni kuondoka naomba kuuliza?
 
hawa watu wametuibia sna kweli za mwizi arobaini wamekutana na chuma
 
Weziiiiiiiiiii haoooooooo kamataaaaaa leteeeee petroooooooool chomaaaaaaaa haoooo weziiiiiiiiiiiii wa mali zetuuuuuuu chomaaaaaaaaaaaa... Majiziii makubwaaa... Bastard haya, eti 'One Team Farewell' i wish to bury them alive..

Mh. Rais wetu mpendwa kawakaba majizi ya nchi yetu.. naomba serikali iwashtaki hawa Acacia walete zile $ 190 bil... Plz plz, wakiondoka tu haya majizi, serikali ifungue mashtaka idai fedha zetu walizotuibia for 19 yrs... Mxxiuuow
.....
.....mmewakaribisha wenyewe mnajilinda wenyewe balikastadi
 
It all depends on two things.

To them it is all about business and Mulla[emoji387][emoji387], if it pays a dividend for them no matter the discourse of locking horn with the government, they will definitely stay.

And secondly, If there are significant risks outweigh the future cash flow and survival of their operation, they will pack and go..

Unfortunately the real fight happening on the government court, it has to prove the loss of earning on their part based on what was written and agreed by the previous administration, i.e. Past Government agreement, which it is significantly HARD to prove..

In other words the war the President has been preaching for far too long, unfortunately it is waged on civil side of court, i.e. It was his government, his administration and his cabinet far a reach from the past who entered in this legit agreement blindly.

And if the new agreement will be reached btn ACACIA and government, let's say they agree to pay royalty from 6% to 30% of the net profit, we will still not be an equal partner, and we shouldn't be celebrating, we are still loosing a significant 20 plus % to make at least 50% partnership.

My instinct and belief this is what will come out of the meeting, but there will be a lot of strong attached to the new agreement legally, for example ACACIA would want the government to pay the cost of stoping the production and loss of earning for months on end now, that means a big cut of the new agreed government royalties dividend and any future breaking of these agreements will come with hefty fine.

I would suggest the government to determine the time scale of these precious materials, how long in terms of tonnage will be able to produce them,

And secondly gauging for the actual cost of production and mining of these metals, having that information will help them in negotiating

And lastly, thinking how can the government be a partner in the process, having a board member within acacia, but that would prove difficulty.

Good luck with the negotiation.
 
Back
Top Bottom