Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

Mfanyabiashara kwenye maslahi haendi hivi hivi don't be stupid!

It is all about BiG mullah[emoji387][emoji387][emoji387][emoji387] or small cash [emoji387]

Both it is a yes yes for them..

Teh teh...okay...
 
Hawawezi kufunga kama wanafunga kiosk. Hilo ni kampuni liko listed NYSE, LSE, TSE na hata kaDSE. Lazima watatangaza rasmi kuwa wanafunga kabla ya kuchukua hatua kama hiyo. Kwa sasa wametangaza wako kwenye Care and Maintenance, ambayo ni aina fulani ya kustopisha shughuli zote za uzalishaji. Hata Dangote walifanya hivyo walipozuiwa kuagiza makaa ya mawe kuyoka Afrika Kusini. Pia ni namna ya kiutu uzima kutangaza kuwa hauridhiki na hali inavyoenda.

The fact kuwa watu wanaweza kufikiria wanafunga ni muendelezo ule ule wa uswahili wetu, uliojikita katika fitna, vijicho, ulaghai nk. Huu uswahili unafanya tufikiri na wengine wanaweza kufanya vitu vya ajabu ajabu.
Buzwagi Gold Mine Kuna kitu kinaitwa MAISHA BAADA YA MGODI KUFUNGWA., kuna trainning na semina mbalimbali zinatolewa.
 
Kwavile kizazi chetu tumeshindwa kutumia akili kufaidika bora tuache kuchimba waje wajukuu zetu wachimbe ....watatuona kidogo tulitumia akili kuliko kukuta mashimo na hadithi .....
 
bdabd4e8dab4b80d8777965ab3282180.jpg


More to follow...
Ni kama wanaaga team moja inayoondoka.
Ngoja ninywe kahawa kidogo kwanza!
 
Lazima waondoke ni aibu kubaki kwa wizi walioufanya.Wanashikana mashati huko Toronto
 
Acacia share price today is trending at 180£, it has been decreasing for some time,

I'm throwing my chip to rise up again to 190-195£ in the next 2-3 months,

So, if you want a 10-15% increase of your profit invest at least 1, 000-10,000£ you will be laughing in 3 months,

The price of gold in general in average still stays at $1300per oz, that will slightly increase on outcome of this negotiation, and remember acacia has spent millions hedging against gold price drop, we are here for the mullah in these comming weeks.

The rich and the money is on acacia to come out stronger in this
Pending negotiation and of course a modest increase of royalty to the government to shout about.

It is a win win situation, we all will be going to the bank laughing[emoji387]
 
Back
Top Bottom