Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 984
- 926
Maana yake timu yao imefanya kazi vizuri. Hayo maneno " one team" ni ya kupongezana."One team"
Hayo maneo mawili mnapaswa kuyaelewa kabla ya ku-conclude na msisahau kuna mgodi mmoja unakaribia kufungwa.
Vile vile hii ni ishara kuwa mazungumzo hayana dalili ya kuleta muafaka zaidi ya kupelekana mahakamani.