jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Piga kura mkuu ikiwezekana shawishi msimamo wakoWachina off course
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga kura mkuu ikiwezekana shawishi msimamo wakoWachina off course
Kaka mshana wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana na haitatokea nikujibu kwa namna yoyote mbaya ila ndugu fanya utafiti utagundua kuwa hawa watu kuna mambo mengi sana Mazuri waliyowekeza huko. Nakutajia baadhi ya mambo positive
1: Wameboresha miundo mbinu (barabara ya kutoka mgodini hadi Kahama pamoja na Ile ya kutoka mgodini kwenda Nyamtukunja (kwenye ziwa Victoria
2: Wamevuta maji kutoka ziwa Victoria na wameacha vituo vya kuchota maji kila kijiji lililopita bomba na kipindi kikali cha kiangazi wananchi wamekuwa wananywesha mifugo.
3: Wamejenga shule za kisasa za Secondary hususani ya Bugarama na Bulyanhulu
4: Wamejenga nyumba za walimu za kisasa katika kata Tatu zinazozunguka mgodi
5: Hospital ya kisasa ambayo haipo mkoa mzima wa Shinyanga na ipo Bugarama
6: Ajira na mishahara ambayo labda uwe mkuu wa wilaya kuipata.
7: Miundombinu ya umeme na tayari kabla ya makinikia walikuwa wameshaplan kuleta maji ya ziwa Victoria kwenye vijiji kadhaa vinavyozunguka mgodi.
8: Nyumba zao walizojenga kwa ajili ya wafanyakazi zilizopo Ilogi na Bugarama hakika zimefanya maeneo hayo kuonekana kama mjini kabisa.
9: Stand na soko lililopo Bugarama na hadi sasa limekuwa chanzo kikubwa cha mapato katika wilaya ya Msalala. Mengine siyakumbuki
NB: Huko ni nyumbani so kila updates nazipata na nishawahi kuwa miner hapo mgodini
Ndiyo kakamkuu hivi na segese ipo msalala?
SoUnasahau kwamba madini ni no renewable resource kwa kuzingatia lifespan ya binadamu!
HAPA NDIPO NAONA MITANZANIA WAGA MIPUMBAFUU SISI....AKIJA RAIS MWINGINE AKASEMA HAWA WAWEKEZAJI TULIKOSEA KTK ZILE RIPOTI ZA MRUMA ..ACACIA HAWANA HATIA WAENDELEE NA UCHIMBAJI ....NAJUA TU KWA JINSI MLIVYO MTASHANGILIA NA KUUNGA KAULI HIII.....SO STUPID STUPID STUPID YAANI MPAKA KEROOOBora walau hili tuachane nalo hata kama limetula lakini inatosha
Nani aliwapa mikataba???Wakwendreeee kureee nyamafu hawa! Wameiba mpaka wakavimbiwa
Honey card yetu ya mwaliko unayo wewe, niko saloon nitakuwa nyumbani in half an hours time.
Stamico wameshindwa kuendesha Tulawaka. Tangu waichukue hadi leo hawajatengeneza hata senti tano. Wanakula pesa tu. Wabongo kukurupuka hawajamboSiiamini StamIco!! Siyo muumini wa Eti stamico iliyoboreshwa! You know why? Kwa sababu sina imani na huyo mboreshaji! Sina imani na maboresho yenyewe,sina imani na tija itayoletwa na uboreshaji wenyewe! Kwa kuwa nina kumbukumbu nzuri! Kwa miongo kadhaa hakujawahi kuwa na manufaa yoyote yaliyoletwa na uboreshaji wa huyo mboreshaji!! Nakumbuka kipindi kile cha mauaji makubwa ya Tembo wetu kuna kura iliwahi kupigwa hapa!! Na matokeo yake asilimia kubwa walitamani hata Hao Tembo wangebadilishwa kwa KUKU angalao wangepata mayai na nyama!! Maana kwao Tembo hawakuwa na faida yoyote ya moja kwa moja, so is those mines!! Kwa wengi haina faida kabisa! Labda waajiriwa wa migodini,ila kwa sisi huku tungeona bora hayo maeneo mngetupa walau tulime maboga!! Hizo tanzaNite na dhahabu zenu hazina faida yoyote kwetu!!! Mpeni tu mtu yeyote! Hata kichaa! Nothing real matter!
Hawaondoki wanaenda kufinalize kesi huwezi kumshitaki mtu ukiwa bado unachimba unasusa ili gharama ziwe endelezi ..........Wanaondoka lakini si ajabu wakaibukia mahakama ya usuluhishi.
Umejuaje kuwa uwekezaji huu hauna tija ? Tuanzie hapo kwanza? Au na wewe ndio umemezeshwa maneno kuwa tunaibiwa ktk makinikia ?Tupige kura kujua ni nani anafaa kupewa umiliki wa kuchimba madini baada ya uwekezaji usio na tija kukoma?