Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

Mi nimeona hapo red tu baaaaas...

Hayo makinikia tuliyaacha tangu enzi za Nyerere mnataka mfaidi peke yenu?

Tutabanana hapohapo kwenye Noah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee I meant babu
Yalaaa hebu fanya kama hukuona
Wacha niisomee albadir hii simu isirudie makosa tena
 
Ni kawaida sana panya kuhama kama nyumba imekumbwa na baa la njaa.
Ila uzuri ni kwamba agalabu hudhuru nyumba hiyo kuona kama kuna dalili ya shibe then wanahamia kwa mara nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…