Ndombo
Member
- Mar 18, 2017
- 79
- 64
Mbona hamna jema wa Tanzania?Mlipiga kelele madin yanaibwa leo anataka kukomesha mnapingaCcm yenu inaua nchi shenzy sna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamna jema wa Tanzania?Mlipiga kelele madin yanaibwa leo anataka kukomesha mnapingaCcm yenu inaua nchi shenzy sna
Kaka, wewe ulionyesha kushangaa kwa kusema Kahama itakuwaje na maendeleo kama Joburg ilhali huko uchimbaji umeanza toka 1880, wakati Kahama umeanza toka 1990!Twende tukashushe duara wakiondoka acacia
Sasa si tukachimbe wenyewe ili tusiibiwe na wezi mkuuu. mbona hivyo?Kaka, wewe ulionyesha kushangaa kwa kusema Kahama itakuwaje na maendeleo kama Joburg ilhali huko uchimbaji umeanza toka 1880, wakati Kahama umeanza toka 1990!
Mimi nikakwambia kwamba kwa hali ya mazingira wezeshaji wa maendeleo ya sasa, Kahama hahitaji miaka 100 kuendelea! Inawezekana kuendelea kwa haraka sana. Nikatoa mfano wa nchi kama Malaysia iliyopiga hatua za haraka kuanzia miaka ya 1990. Korea ya Kusini ilikuwa maskini miaka ya 1950s, kama ilivyokuwa China, Singapore, Taiwan na Hong Kong. Hizi nchi hazikuhitaji miaka 100.
Kwa hiyo, Kahama inaweza kuendelea kabisa. Wananchi wa Kahama hawakupaswa kuwa hata na shida ya huduma youotw ya kijamii. Sasa ebu fikiria miaka 27 sasa, lakini huduma kama za maji, afya, elimu na barabara bado hoehae! Na sababu kubwa ni serikali za CCM; zinazoendekeza rushwa, upigaji na uzandiki wote ule. Serikali zilizofukia wananchi alive ili wawekezaji wajichukulie madini kirahisi.
Hii ndiyo hoja! Hilo ulilosema halihusiani na swala nililotaka kufahamu kutoka kwako.
Halafu utauza wapi hayo madini?Sasa si tukachimbe wenyewe ili tusiibiwe na wezi mkuuu. mbona hivyo?
Halafu utauza wapi hayo madini?Sasa si tukachimbe wenyewe ili tusiibiwe na wezi mkuuu. mbona hivyo?
kwa hiyo mkuu unataka kusema tunawaonea kuwaita wezi?Halafu utauza wapi hayo madini?
NB: hatujawahi kuibiwa. Kwani walituvamia na kuanza kuchimba? Bali ni serikali za CCM ndizo ziliwapa madini yetu hao wawekezaji kwa makubaliano yaliyoidhinishwa kimikataba.
gold haina shida soko lake. hii ni pesa ya dunia. tunaweza uza popote paleHalafu utauza wapi hayo madini?
Magufuli na washabiki wake wanakosea ndiyo kuwaita wezi. Mwizi wakati nyiye maCCM ndiyo mmewapa ulaji hao wawekezaji?kwa hiyo mkuu unataka kusema tunawaonea kuwaita wezi?
Hivi unajua Barrick ni big player kwenye sekta ya dhahabu? Do you know the implication pale utakapokuwa na mahusiano nayo mabaya ya kibiashara? Wanaweza waka-influence dhahabu ya kutoka Tanzania iwe blacklisted. Ikiwa hivyo, utauza dhahabu wapi?gold haina shida soko lake. hii ni pesa ya dunia. tunaweza uza popote pale
Kama hiki Kitu kimetolewa na Informer Kitakua na Ukweli Ndani yake Ni Muda wa Kutuachia Mgodi wetu dhahabu haziwezi Kuoza.
Maskini Noah zetu.... dah!
![]()
Waondoke tu,vitukuu vyetu vitachimba.![]()
More to follow...