ACADEMIAZSOFT: mfumo bora wa Uendeshaji wa Shule katika namna bora na ya kisasa

ACADEMIAZSOFT: mfumo bora wa Uendeshaji wa Shule katika namna bora na ya kisasa

Joined
Jul 24, 2023
Posts
57
Reaction score
88
Hujambo ndugu mwana JF.
Karibu AcademiazSoft.

RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi.

Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa fursa ya kufanya masuala yote yahusuyo uendeshaji wa shule yako katika platform moja iliyoboreshwa.

KWasasa mfumo wako wa AcademiazSoft umeboreshwa kwa kuongezwa package mpya na kuziimarisha zile za zamani, yaan

1. Academic package
2. Fee payment package
3. Bulk SmS package
4. Accounting package
5. Human resourse Management package
6. Asset and Inventory management package

Fahamu kwamba , kwasasa ,mfumo wa AcademiazSoft unahudumia taasisi za elimu (shule na vyuo) katika mikoa mbali mbali Tanzania.

NI fahari yetu kukuhudumia.
Karibu AcademiazSoft
Screenshot_20230907_223428_YouTube.jpg


kwa maelezo zaidi

Unaweza wasiliana nasi kupitia namba za simu
+255 757 906 463
+255 654 238 234

Au fika ofisin kwetu, posta mpya, mtaa wa samora, Jengo la Twiga House
 
Je, unatamani kuandaa taarifa za kitaalua zenye ubora kwa muda mfupi,?, Jaribu AcademiazSoft kwa suluhisho sahihi.
Andaa taarifa za kitaaluma za watoto zaid ya 200 darasani ukiwa peke yako ndani ya dakika 15 tu.
reportFull.PNG
 
Je unahitaji muda wowote kujua trend ya malipo ya school feez na kupata taarifa updated in real time?

USiwaze, mfumo wa AcademiazSoft unakupatia DASHBOARD yenye taarifa zilizo fupishwa (summarized) kukupa picha picha ya kile unahitaji kufahamu.

Screenshot 2023-07-11 155001.png
 
AUTO-REMINDER NOTIFICATIONS

fahamu kwamba mfumo wa AcademiazSoft, umesukwa katika namba ambayo kila wakat unakurahisishiankazi ya kumkumbusha mazazi kuhusu malipo ya Ada?
Huna haja ya wewe kama mwalimu au muhasibu kutuma ujumbe kwa ajili ya kukumbusha malipo ya ada.

Wala huna ulazima tena kama shule kutumia rasilimali karatasi kuandika barua ya kukumbusha malipo ya ada kwa mzazi ambapo huna uhakika kama itafikishwa na mtoto au hata kama itafika basi itasomwa na mzazi!.

Mfumo wa AcademiazSoft, unakurahisishia kazi kwa kutumia ujumbe unao ainisha kiwango cha malipo yanayodaiwa na pia kumjuza mteja kiwango cha malipo ambayo ameshafanya kwenda kwenye simu yake ya mkononi kwa njia ya:

- SMS
Screenshot_20231031_201307_Messages.jpg


- EMAIL (Barua pepe)

Screenshot_20231031_200013_Gmail.jpg
 
Unaweza wasiliana nasi kupitia namba za simu
+255 757 906 463
+255 654 238 234

Au fika ofisin kwetu, posta mpya, mtaa wa samora, Jengo la Twiga House
 
WAWEKE WATEJA WAKO KARIBU

kupitia mfumo wa ACADEMIAZSOFT, unapata njia rahisi ya kuonyesha kuwajali wateja wako kwa ku "share" pamoja nao matukio mbali mbali ya maisha yao.

Mfumo wa academiazSoft unakusaidia AUTOMATICALLY kutuma notification ya kumbukizi za matukio mbali mbali yanayowahusu wazazi na watoto (wanafunzi) kama vile

- kuwa wish HAPPY BIRTH DAY kwa njia ya SmS

- kutuma salamu za sikukuu kama Christmass, Happy new yea n.k.

Hii hufabyika automatically kwakua mfumo una rekodi ya tarehe zote za matukio na tarehe za kuzaliwa za watoto
Screenshot_20240522_160838_Messages.jpg


Hii humfanya mteja kujiona special kwakua unamjali
 
Nadhani ungeongeza features ya mzazi ku login na kuonda maendeleo ya mtoto wake online, eg alikua kwenye list ya wasumbufu darasani, quiz amepata ngapi etc
 
Back
Top Bottom