Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

sehemu nyingi Tanzania magari yanapishana, milimani, mabondeni, kwenye kona n.k lakini hakuna mahali panapovutia ajali zaidi kama Kibaha why?

Hiki kipande kutoka mlandizi mpaka ubungo kina magari mengi (both ways). Kwa madereva wenye haraka, inakuwa vigumu sana kupata nafasi ya ku overtake bila kukiuka sheria ya usalama barabarani.Fikiria upo nyuma ya malori kama matatu na yanakwenda polepole halafu una haraka zako.

Hivyo bado naamini sababu kubwa ni udogo wa barabara kuweza kukidhi idadi ya magari and offcourse uzembe wa sisi madereva na ukimya wa abiria hata pale wanapoona dereva anakiuka sheria na kuhatarisha maisha yao.

Nimepanda mara kadhaa mabasi yanayokwenda morogoro na hata Arusha. Ukioona madereva wanavyoendesha na kuovertake katika kipande hiki cha barabara kwa hakika hutuwezi kushangaa sana ajali zinazotokea.

Barabara ya Chalinze -Morogoro imetengenezwa vizuri sana. Wamejitahidi kuweka njia ya tatu (kwa sehemu zenye milima) ili kuruhusu madereva ambao wanakwenda taratibu kukaa pembeni.
 
Dogo yuko right kabisa... umeweka kwenye jukwaa la siasa!!! Politicizing everything may not be the best thing!!!

In order to win scientific argument and implement the result you need a political will.

Hii inaweza kuwa imekaa vizuri tu katika jukwaa hili kwani sisi wanasayansi tukificha mambo kwenye kisayansi zaidi si wote wangependa kufuatilia ila mkiletewa katika siasa watu ni kibaaao.

Mwanakijiji yupo sawa kwani hata kichwa cha habari ni swali na si hoja. Hivyo basi toa mchango wako na kama utahitaji utafiti wa kisayansi zaidi mada itatupiwa huko.
 
mimi naamini kuna sababu nyingi sana za
-KITAALAMU
-KIUWAJIBIKAJI

tusipojadili ukweli ndugu zanguni HATUWEZI KUPATA SULUHISHO.tuachane na haya mazoea ya ''siasa''.hizi barabara zinakuwa mbovu kwasababu ya ''siasa'',zinajengwa ''kisiasa'',wataalamu wetu ni ''wanasiasa'',watu wanawajibika ''kisiasa''

tuwe wakweli,na twende straight kwenye tatizo
 
In order to win scientific argument and implement the result you need a political will.

Hii inaweza kuwa imekaa vizuri tu katika jukwaa hili kwani sisi wanasayansi tukificha mambo kwenye kisayansi zaidi si wote wangependa kufuatilia ila mkiletewa katika siasa watu ni kibaaao.

Mwanakijiji yupo sawa kwani hata kichwa cha habari ni swali na si hoja. Hivyo basi toa mchango wako na kama utahitaji utafiti wa kisayansi zaidi mada itatupiwa huko.

agreed, but political will is totally different from scientific analysis;

  • they yield different results
  • one is a process, the other is just a buy-in
  • political will could be a statement or motivation but scientific evidence or analysis dig deeper to the issue
  • political will is a result of good scientific analysis and presentation that convince
  • Reasoning and will are two different thing

You can never ever discuss or tackle a scientific problem simply by putting it into a political forum.

eniwei, back to discussion na mimi nawapa ya kwangu sasa kuhusu ajali ya jana

lile eneo linaua sana na wakazi wengi wa kibamba wanaamini kwamba kuna nguvu za giza (another scietific observation by ordinary people); inasemekana vifo vingi hutokea pale na katika vifo vyote huwa hakuna damu inayobaki hata ajali iwe grissy vipi. wenyeji walishawahi kufanya maombi (madhehebu zote) na ajali zikapungua ila this time walijishahau na imetokea... FYI, jana tu palikua na ajali ndogo mbili on the same spot!!

that is my bushdoctor scientific coin
 
hapo kwenye PINK hapo nitapafanyia kazi
 
Wakuu, eneo la kuanzia Luguruni mpaka kibaha yenyewe, lina miteremko na milima kama nane hivi, barabara imetengenezwa bila kufuata safety issues, kuna kona kwenye miteremko kama minne hivi, Hata ni mambo ambayo yangeweza kuepukika. kwani waliotengeneza, waliofanya sijui umbembuzi yakinifu hawakuweza hata kutumia chembe ya busara, achilia mbali taaluma walizonazo.
 
Can somebody articulate why it seems there is some kind of a pattern or a logical explanation of why some of the most grisly accidents have happened in or near Kibaha for many many years now? Is there any scientific reason for these occurrences that our rulers have overlooked?

Kwa sababu siamini kama ni wingi wa magari au ufinyu wa barabara tu unaweza kuelezea ajali hizi. Kuna kitu kinasababisha na nina uhakika siyo cha kishirikiana lazima kuna sababu ya kisayansi ya matukio haya.

Nadhani kinachochangaia wingi wa jali ni combination of factors

1. Equipment Failure-

Inawezekana gari nyingi hasa zinazotoka dar zinakuwa tested uimara wake kwa mara ya kwanza maeneo ya kimara-kibaha. kuna vilima, kona kali nahisi madereva wa magari hasa makubwa wanweza kupima uwezo au nguvu ya gari lake mara anapokuwa maeneo ya kimara -kibaha.any weakness inajulikana maeneo haya.

2. Roadway Design
Hii iko pia ni sababu na mbaya zaidi kama ni ajali za kuongana uso kwa uso tunaweza kusema ni uchache wa sehemu za kuovertake. Traffic ya magari kati ya dar kibaha ni kubw a kuliko maeneneo yeyote. Kuwa na duoble lane au inaweza kupunguza. Kimara- Kibaha ni gateaway/ get inet road ya Dar suala la ufinyu halikwepeki
NB:
Kwenye double lane zisizoingiliana huwezi kuwa na ajali ya magari uso kwa uso

3. Poor Roadway Maintenance
Hili kwa kibaha sio tatizo ingawa sijui kama kuna Road signs za kutosha.

4. Driver Behavior:
Tabia ya madereva wa magari ya mizigo na madereva wa magari ya abiria sometime inakuwa ni ya uhasama kama si ushindani. Sometime dereva wa gari kubwa anaona gari lake liko slow sana lakini anakuwa mgmu kupisha gari dogo liwai na safari. Sometime pia Dereva wa gari yenye kasi anakuwa na haraka sana ya kupita gari kubwa hata sehemu isiyofaa.

Uelewa na utiii wa madereva kuhusu road signs
 
Wakuu, eneo la kuanzia Luguruni mpaka kibaha yenyewe, lina miteremko na milima kama nane hivi, barabara imetengenezwa bila kufuata safety issues, kuna kona kwenye miteremko kama minne hivi, Hata ni mambo ambayo yangeweza kuepukika. kwani waliotengeneza, waliofanya sijui umbembuzi yakinifu hawakuweza hata kutumia chembe ya busara, achilia mbali taaluma walizonazo.
VERY CLOSE TO THE FACT!sijaona ''sihasa'' kwenye hii analysis yako.ni ukweli mtupu.
 
hivi,kwanini magari yaendayo arusha,moshi,na mwanza yasiingilie msata!?...halafu palepale msata taroads wakajenga MZANI?KWANINI?
 
4. [B said:
Driver Behavior:[/B]
Tabia ya madereva wa magari ya mizigo na madereva wa magari ya abiria sometime inakuwa ni ya uhasama kama si ushindani. Sometime dereva wa gari kubwa anaona gari lake liko slow sana lakini anakuwa mgmu kupisha gari dogo liwai na safari. Sometime pia Dereva wa gari yenye kasi anakuwa na haraka sana ya kupita gari kubwa hata sehemu isiyofaa.

Asilimia kubwa ya ajali husababishwa na sababu hii...
 
Je, kuna sababu ya msingi ya Highway kupita katikati ya mji?

Hivi ni highway zimefuata miji (watu) au miji(watu) mefuata highway? Inanikumbusha ule mgogoro wa kiwanda cha saruji(wazo) na wananchi wanaokizunguka!
 
Wakuu, eneo la kuanzia Luguruni mpaka kibaha yenyewe, lina miteremko na milima kama nane hivi, barabara imetengenezwa bila kufuata safety issues, kuna kona kwenye miteremko kama minne hivi, Hata ni mambo ambayo yangeweza kuepukika. kwani waliotengeneza, waliofanya sijui umbembuzi yakinifu hawakuweza hata kutumia chembe ya busara, achilia mbali taaluma walizonazo.

Siamini kama waliotengeneza ile bara bara hawakufuata saftey issue. Labda useme sisi hatufaanyii maitanace kulingana na mabadiliko ya traffic nk. Naamini kabisa kwa waliotengeneza ile barabara wali consider Safety measures zinazokidhi at that particular time.

NB
Tunachotakiwa tujiulize je huwa tunafanyia revievw na kufanya analysis ya ya ROAD USAGE zetu baada ya kukabidhiwa????
 
Back
Top Bottom