Kesi imefunguliwa wapi?Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.
Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon ana Dola 10000 pekee sawa na mil 24 za kitanzania kwenye account yake na Mali zake zote zinamilikiwa na Mama yake mzazi
Ndoa maamaeπππππ
Ila kuna maza wengine hawaaminiki watampa zote kina bentenUpendo wa mama ni ajabu
ππππSiku hizi wanapata tabu sana ππAkili mtu wangu, wanawake malaya kazi wanayo π
Kesi imefunguliwa wapi?
Inawezekana wakapigana pasu mali nyingibe pamoja na spousal support bila kujali ana kiasi gani kwenye akaunti.