Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

Sijui hajaelewa nini hapo..mfano tu wa ajali za barabaran ikitokea umegonga mtu akaumia..akiwa hosptal huwa kuna muda wanatoa wa uangaliz ili kuona maendeleo ya mgonjwa...ikiwa amepata majeraha ambayo si ya kumuathir shughul zake za kila siku ..anapewa tu option ya kuzungumza na aliesababisha ajali na kucompasate kiasi..ila kama amepata kilema cha kudumu hapo sheria inageuka tena...sasa kama ndo madai yake anaeongelea kama ajali ni ya kawaida si wangeukumu tu kuwa alipwe maisha yake yote kwa kusababishiwa ajali?
Kutokubali kushindwa ni tatizo kubwa katika jamii hakuna tofauti na hapo.
 
Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.

Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon ana Dola 10000 pekee sawa na mil 24 za kitanzania kwenye account yake na Mali zake zote zinamilikiwa na Mama yake mzazi
Wenzetu wana ushenzi mwingi ila wameuweka kisheria.

Yaani ndoa uvunje wewe kisha mimi muhanga nikulipe fidia? Ulivunja kwa nyundo?
 
Back
Top Bottom