Mkuu,Mali nyingine ambazo hazipo kwa jina lake mtagawaneje sasa
Katika hili hujawahi kuniangusha hata chembe...Akili mtu wangu, wanawake malaya kazi wanayo
Ni 9 kabisa 3 chache sana.Dah! Kataa ndoa wamepata pointi 3 nyingije za bure.
Hili ni jambo tata kidogo, ila kwa upande wangu nafikiri sheria ipitiwe upya, kwa mwanamke anayevunja ndoa yeye mwenyewe asipate kitu, Ila mwanaume kama ndiye amemuacha mke hapo sasa anahaki ya kudai mali.Mkuu,
Ndiyo maana nikauliza kesi imefunguliwa wapi kwanza tujue jurisdiction ikoje, inafuata jurisprudence gani?
Nimeona hela zimekuwa quoted kwa Euros lakini mke nafikiri ni Mmarekani na ndoa ilifungwa Marekani.
Mfano Marekani, kutegemea na jimbo, mwanamme anaweza kudaiwa kugawana mali zilizochumwa wakati wa ndoa bila kujali hizo mali zimehamishiwa kwa nani. Tena mwanamke akiweza kuonesha mwanamme kahamisha mali ili mwanamke asipate kitu hapo mahakama inakubana zaidi mwanamme.
Majimbo kama New Jersey ukimuacha mke unatakiwa kumlipa alimony aendelee kuishi maisha kama uliyomzoeza wakati wa ndoa, anaendelea kulipwa hivyo mpaka afe au aolewe na mwanamme mwingine.
Kwa hiyo narudi kwenye swali langu.
Kesi ya talaka imefunguliwa wapi?
Kuna mbinu ya kuandaa marriage proposal yani mwanamke ndiye anayeandaa! Dogo wa Chelsea kapiga chini baada ya demu wake kumletea hii mambo! 😂😂😂Wanawake hii mbinu yenu imeshitukiwa, najua shetani hakosi mbinu nasubiri kuona mpya hivi punde.
Umeambiwa mali nyingine zina jina la mama yake mzazi. Hakuna pasu hapo. Sijui laki sheria za huko zinasemaje kuhusu mume kumilikisha mali kwa mtu mwengine kwa kipindi fulani wakiwa ndani ya ndoa, ikiwa na lengo la kukwepa pasu kwa pasu pindi ndoa inapovunjikaKesi imefunguliwa wapi?
Inawezekana wakapigana pasu mali nyingine pamoja na spousal support bila kujali ana kiasi gani kwenye akaunti.
Hii nayo ifanyiwe uchunguzi.Kuna mbinu ya kuandaa marriage proposal yani mwanamke ndiye anayeandaa! Dogo wa Chelsea kapiga chini baada ya demu wake kumletea hii mambo!
Mwanamke anaweza kuvunja ndoa yeye kwa kupigwa, kutukanwa, kufanyiwa visa kama vyote.Hili ni jambo tata kidogo, ila kwa upande wangu nafikiri sheria ipitiwe upya, kwa mwanamke anayevunja ndoa yeye mwenyewe asipate kitu, Ila mwanaume kama ndiye amemuacha mke hapo sasa anahaki ya kudai mali.
Sasa unasemaje hakuna pasu hapo wakati hata hujui sheria za huko zinasemaje wala hujui huko ni wapi?Umeambiwa mali nyingine zina jina la mama yake mzazi. Hakuna pasu hapo. Sijui laki sheria za huko zinasemaje kuhusu mume kumilikisha mali kwa mtu mwengine kwa kipindi fulani wakiwa ndani ya ndoa, ikiwa na lengo la kukwepa pasu kwa pasu pindi ndoa inapovunjika
Hayo ni mambo ambayo naamini mnaweza mkakaa mkaongea na mkayamaliza sioni ni kama sababu ya kuvunjua ndoa, sababu pekee ambayo naona inanguvu na jukumu la kuvunja ndoa ni uzinzi pekee, hayo mengine nadhani yanamalizwa tu kwa ushauri wa kuishi vema ndani ya ndoa.Mwanamke anaweza kuvunja ndoa yeye kwa kupigwa, kutukanwa, kufanyiwa visa kama vyote.
Huoni kuwa hapo kwa pendekezo lako utamnyima nafasi ya kuvunja ndoa yeye na kupeea haki yake?
Inabidi warudi kwenye drawing board upyaAkili mtu wangu, wanawake malaya kazi wanayo 😂
Ushajipa mamlaka ya kuamua jambo lipi linavunja ndoa na lipi halivunji.Hayo ni mambo ambayo naamini mnaweza mkakaa mkaongea na mkayamaliza sioni ni kama sababu ya kuvunjua ndoa, sababu pekee ambayo naona inanguvu na jukumu la kuvunja ndoa ni uzinzi pekee, hayo mengine nadhani yanamalizwa tu kwa ushauri wa kuishi vema ndani ya ndoa.
Ili iweje?Onho,ngoja nikazane kuzaa aisee🥴
Na bado 😂😃😃😃😃Siku hizi wanapata tabu sana 😃😃
Huku si kujipa mamlaka bali ni kuileta sheria katika haki na ukweli, awali ya yote tuangalie sheria ni nini? Sheria ni jambo, jukumu au mipaka ya sehemu flani inayojiweke kwa sababu ya jambo flani, ndio maana nchi zote duniani zinasheria zinazo tofautiana kiutendaji, kwa sababu watungaji ni binadamu wenye mitazamo tofauti na kama binadamu ni lazima kutakuwako na makosa pia, hivyo ukiwa kama kiumbe mwenye akili timamu unahaja ya kupinga au kulekebisha sheria pale ambapo unaona pamekosewa.Ushajipa mamlaka ya kuamua jambo lipi linavunja ndoa na lipi halivunji.
Mamlaka hayo si yako.
Kumbuka kisheria huna nafasi ya kumpangia mwanamke jambo gani linavunja ndoa na gani halivunji ndoa.
Mkuu,Huku si kujipa mamlaka bali ni kuileta sheria katika haki na ukweli, awali ya yote tuangalie sheria ni nini? Sheria ni jambo, jukumu au mipaka ya sehemu flani inayojiweke kwa sababu ya jambo flani, ndio maana nchi zote duniani zinasheria zinazo tofautiana kiutendaji, kwa sababu watungaji ni binadamu wenye mitazamo tofauti na kama binadamu ni lazima kutakuwako na makosa pia, hivyo ukiwa kama kiumbe mwenye akili timamu unahaja ya kupinga au kulekebisha sheria pale ambapo unaona pamekosewa.