Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Unayem-quote anapenda kubishana usipoteze muda!Hayo ni mambo ambayo naamini mnaweza mkakaa mkaongea na mkayamaliza sioni ni kama sababu ya kuvunjua ndoa, sababu pekee ambayo naona inanguvu na jukumu la kuvunja ndoa ni uzinzi pekee, hayo mengine nadhani yanamalizwa tu kwa ushauri wa kuishi vema ndani ya ndoa.
Kukubali makosa kwamba umemkanya sana ingawa unatambua fika umemkanyaga kidogo, inaweza kukusababishia madhara makubwa zaidi, anaweza kudai fidia kubwa na watu wakaunga mkono kwa kuwa umekosa moyo wa kujitetea wewe mwenyewe.Mkuu,
Ukipanda basi ukamkanyaga mtu, halafu mtu akasema umemkanyaga, hutakiwi kumpangia kusema mbona unalia nimekukanyaga kidogo tu? Tupatane nimekukanyaga kidogo tu.
Yeye ndiye ana haki ya kusema umemkanyaga kidogo au sana.
Sasa hapa mbona unaonekana umemkanyaga mtu halafu hapo hapo unashikikia hujamkanyaga sana?
Atanyooka tu.Unayem-quote anapenda kubishana usipoteze muda!
Kwamba umemkanyaga kidogo au sana aseme yeye.Kukubali makosa kwamba umemkanya sana ingawa unatambua fika umemkanyaga kidogo, inaweza kukusababishia madhara makubwa zaidi, anaweza kudai fidia kubwa na watu wakaunga mkono kwa kuwa umekosa moyo wa kujitetea wewe mwenyewe.
Inaonekana mkuu wewe ni mlaini kubambikiwa kesi kizembe.Kwamba umemkanyaga kidogo au sana aseme yeye.
Wewe unaweza kuona umemkanyaga kidogo kumbe mwenzako umemkanyaga kwenye jipu linalouma sana.
Ndiyo maana ni muhimu uamuzi wa kusema kaumia vipi ni mihimu umuachie yeye, usiseme wewe kwamba hapo umemkanyaga kidogo tu.
Siongelei mimi, naongelea hoja.Inaonekana mkuu wewe ni mlaini kubambikiwa kesi kizembe.
Umeambiwa mali nyingine zina jina la mama yake mzazi. Hakuna pasu hapo. Sijui laki sheria za huko zinasemaje kuhusu mume kumilikisha mali kwa mtu mwengine kwa kipindi fulani wakiwa ndani ya ndoa, ikiwa na lengo la kukwepa pasu kwa pasu pindi ndoa inapovunjika
Nasubiria mjibu kesi imefunguliwa wapi ili badala ya kutegemea maoni yenu nisome hiyo kesi.Inaonekana mkuu wewe ni mlaini kubambikiwa kesi kizembe.
Mawazo ya mtu husadifu jinsi alivyo mkuu tambua hilo.Siongelei mimi, naongelea hoja.
Unaweza kuijadili hoja bila kumjadili mtoa hoja?
Una tatizo la Watanzania wengi la kushindwa kufanya fikra dhahania.Mawazo ya mtu husadifu jinsi alivyo mkuu tambua hilo.
Sasa huo ni upotoshaji na ulaghai unaopaswa kupigwa vita, mtu kuchangia jambo na kulishikilia ilihali anatambua wazi yeye mwenyewe hawezi kulitenda huko ni kulishana kasumba, wakati mwingine unapaswa kutofautisha mambo kati ya mambo ya kukazia na kupuuzia, tofauti na hapo hutakuwa na tofauti na ulaghai kama ulaghai mwingine.Una tatizo la Watanzania wengi la kushindwa kufanya fikra dhahania.
You can't think in the abstract.
Na kuna mambo si mawazo ya mtu ni mantiki tu.
Najua huwezi juelewa. Huna uwezo wa kuelewa wala si kosa lako.
Kataa ndoa, where you at wazee??ushindi mwingine mezani hapa...Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.
Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon ana Dola 10000 pekee sawa na mil 24 za kitanzania kwenye account yake na Mali zake zote zinamilikiwa na Mama yake mzazi
Niliandika najua huwezi kuelewa.Sasa huo ni upotoshaji na ulaghai unaopaswa kupigwa vita, mtu kuchangia jambo na kulishikilia ilihali anatambua wazi yeye mwenyewe hawezi kulitenda huko ni kulishana kasumba, wakati mwingine unapaswa kutofautisha mambo kati ya mambo ya kukazia na kupuuzia, tofauti na hapo hutakuwa na tofauti na ulaghai kama ulaghai mwingine.
Sawa, nimeweka bunduki chini.Niliandika najua huwezi kuelewa.
Umethibitisha hilo.
Unamzungumzia yule Palmer hivi hiyo marriage proposal aliiwekaje huyo manzi?Kuna mbinu ya kuandaa marriage proposal yani mwanamke ndiye anayeandaa! Dogo wa Chelsea kapiga chini baada ya demu wake kumletea hii mambo! πππ
Sijui hajaelewa nini hapo..mfano tu wa ajali za barabaran ikitokea umegonga mtu akaumia..akiwa hosptal huwa kuna muda wanatoa wa uangaliz ili kuona maendeleo ya mgonjwa...ikiwa amepata majeraha ambayo si ya kumuathir shughul zake za kila siku ..anapewa tu option ya kuzungumza na aliesababisha ajali na kucompasate kiasi..ila kama amepata kilema cha kudumu hapo sheria inageuka tena...sasa kama ndo madai yake anaeongelea kama ajali ni ya kawaida si wangeukumu tu kuwa alipwe maisha yake yote kwa kusababishiwa ajali?Inaonekana mkuu wewe ni mlaini kubambikiwa kesi kizembe.
Ndio huyohuyo ! Sijui hizo marriage proposal zipoje!Unamzungumzia yule Palmer hivi hiyo marriage proposal aliiwekaje huyo manzi?