Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Kutokubali kushindwa ni tatizo kubwa katika jamii hakuna tofauti na hapo.Sijui hajaelewa nini hapo..mfano tu wa ajali za barabaran ikitokea umegonga mtu akaumia..akiwa hosptal huwa kuna muda wanatoa wa uangaliz ili kuona maendeleo ya mgonjwa...ikiwa amepata majeraha ambayo si ya kumuathir shughul zake za kila siku ..anapewa tu option ya kuzungumza na aliesababisha ajali na kucompasate kiasi..ila kama amepata kilema cha kudumu hapo sheria inageuka tena...sasa kama ndo madai yake anaeongelea kama ajali ni ya kawaida si wangeukumu tu kuwa alipwe maisha yake yote kwa kusababishiwa ajali?
Wenzetu wana ushenzi mwingi ila wameuweka kisheria.Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.
Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon ana Dola 10000 pekee sawa na mil 24 za kitanzania kwenye account yake na Mali zake zote zinamilikiwa na Mama yake mzazi
Mamii ulipoteaWanaume mmeamua kutunyoosha safi sana😀😀
Nipo mkuu, ni hizi VPN zinazingua sometimesMamii ulipotea
Jambo zuri kuwa mzima wa afya nikajua Kuna njema imeshakufungia ndani sasa hivi unatumikia ndoaNipo mkuu, ni hizi VPN zinazingua sometimes
Hapana bado bana😜Jambo zuri kuwa mzima wa afya nikajua Kuna njema imeshakufungia ndani sasa hivi unatumikia ndoa
Ila upo kwenye mahusiano?Hapana bado bana😜
Hapana nipo mwenyewe kama utumbo ndani😛, kama una kaka huko nipe assist mkuuIla upo kwenye mahusiano?
Upo dar?Hapana nipo mwenyewe kama utumbo ndani😛, kama una kaka huko nipe assist mkuu