Account ya Mange Kimambi yadukuliwa

Mali ya JISIEMU sijui mnyama wa bahari sio ya kimchezo mchezo atulie sasa kama hasikii USA sio mbali shauri yake
 
Kabisaaa
 
Aliyejirekodi ndo Hana akili timamu.Mange wamuache
 
Mfano lulu diva alivokua anajitia midole afu anamtumia mwanaume sura inaonekana live,alitgemea isivuje ht mange asingevujisha ingevuja tu Kuna kuibiwa simu,kumpa mtu simu akajitumia n.k

Connections nyingi zinavuja bila hata uwepo wa mange,ya menina,mina Ally na Yule wa kujitia fanta

Sema wenye mabifu na mange ndo wanamalizia hasira zao hapo
 
Mange ana matatizo ya akili... ana personality ambayo haitofautini sana na Magufuli..

Yaani furaha yake ni kuona wengine waki suffer...

we kiazi kweli umedhihirisha ulipomtaja magufuli pamoja na mange.

mange anatumia upopma wenu kutengeneza pesa,unrekodi kalio lako likiliwa ili iweje!!!magufuli na mange watu wenye muelekeo tofauti.
 
True...
 
Kinachotuangamiza sisi Watanzania ni unafiki.....yaani jambo tunaliona zuri na kulifurahia wakifanyiwa watu wengine.......bila ya kujua kuwa Dunia inazunguka.......
Kabisa ndugu!!

Ni kutokujitambua TU. Wapo watu hadi walihoji TCRA iko wapi? Na serikali imelaumiwa sana kwa hlii hadi wengine wakaenda zaidi na kudai serikali inamlinda.

Ni aibu sana sana na jambo la fedheha kuwadhalilisha Watanzania wenzako. Huenda mwenzetu siyo Mtanzania. Mjinga sana yule kimini!
 
Wapo wengine wanafanyiwa hivyo bila ridhaa yao.

Huwezi jua mazingira ya mtu kukubali kurekodiwa ndugu. Wapo walibakwa na kurekodiwa. Wapo pia wanalubuniwa na wenza wao na kutishiwa kuachwa kama hawatakubali kurekodiwa na wachache wanarekodiwa kwa ridhaa zao.. Mazingira yote haya Ni privacy za watu. Tatizo linakuja pale mtu anaamua kujitafutia pesa kwa kulipa watu ili atumiwe picha za faragha zao. Huo ni ushamba na ujinga!!
 
we kiazi kweli umedhihirisha ulipomtaja magufuli pamoja na mange.

mange anatumia upopma wenu kutengeneza pesa,unrekodi kalio lako likiliwa ili iweje!!!magufuli na mange watu wenye muelekeo tofauti.
unaelewa maana ya personality?.. KWANI niMesEMA WANAFANANA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…