reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Nilienda ofisi moja nkakuta boss wa pale anamfolo mange wamekaa wanamdiskas [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wanaomfuatilia ni mazuzu au misukule
Mimi ni Nani nisimfolow kwanza kitendo Cha kumdiskas tu tayari ni tishio kwa watu