Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema.

Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake ilidukuliwa, Kisha watamlipa $2M, na kabla hajapost watamlipa $750 kama upfront payment au kishika uchumba, lakini yeye alikataa kudanganya jamii yake.



Lakini Kwa wale wanaofuatilia X, nadhani tuliona juzi account ya Mo Dewji ikipost fake crypto ambayo ilidaiwa kaitengeneza yeye, na baadae akaja kusema kuwa account yake ilikuwa hacked, Kwa wale wa quba nadhani mtaconnect dots.



Ninavyoamini Mimi Mo Dewji aliramba asali adanganye watanzania, ni ngumu sana account yake kuwa ni kweli ilidukuliwa. Atuombe radhi.

 
Kuna duka lipo mitaa gani sijui linaitwa HATUACHI HELA.

Kwa scenario ya ulichokiandika inawazekana kweli japo sioni influence ya mtu kama Mo Dewji kwenye soko la Crypto. Mtu kama Kanye West dunia inamjua na anaweza kusepa na kijiji vizuri tu. Kwa Mo nina doubt.
 
Tajiri alijihack 😁
 
Mo kaingia tamaa, ila mbaya zaidi kakubali kuuza raia ikiwemo watanzania, kwasabu kama ukinunua tu coin wanacheza na liquidity then hata Kwa muda ambao mo alikuwa okuwa kimya Kuna maboya waneingia mkenge.
 
Hiyo post ya Mo ilisemaje?
 
Tangu account ya Mo itoe hizo Tangazo la Utapeli, Mpaka yeye kuja kuripoti kuwa account yake imedukuliwa ulichukua muda Gani?
 
Na ww tukisema umelipwa kwa kupotosha.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Na anaweza Kutengeneza pesa tena kupitia kwako!, anakupeleka mahakamani ulathibitishe madai yako yakuwa hakuwa hacked uulishindwa kinakulamba!.😁
 
Huenda imekuwa hacked kweli. Mimi week iliyopita account yangu ya instagram imekuwa hacked na sasa imejaa post za cryptos. Linkedin pia nayo ikawa hacked ikageuzwa picha na jina wakaanza tangaza masuala ya clinic za urembo. Sema hiyo nimeweza kuirudisha kwa kuwasiliana na linkendin na kuwatumia vitambulisho na kufanya kyc.
 
Hiyo post ya Mo ilisemaje?
Account ilipost kwamba yeye kazindua coin mpya na pia katoa na wallet address ili kufanya kama wanaipump, lakini wahuni walishangaa Haina drop.
Mpaka Kanye kasanua mchongo mo alikuwa kajipanga kukwepa gege.
 
Na anaweza Kutengeneza pesa tena kupitia kwako!, anakupeleka mahakamani ulathibitishe madai yako yakuwa hakuwa hacked uulishindwa kinakulamba!.😁
Atafeli yeye, amini
 
Nilijua tu itakuwa kamba how come account ya X iwe hacked na protection yote hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…