snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema.
Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake ilidukuliwa, Kisha watamlipa $2M, na kabla hajapost watamlipa $750 kama upfront payment au kishika uchumba, lakini yeye alikataa kudanganya jamii yake.
Lakini Kwa wale wanaofuatilia X, nadhani tuliona juzi account ya Mo Dewji ikipost fake crypto ambayo ilidaiwa kaitengeneza yeye, na baadae akaja kusema kuwa account yake ilikuwa hacked, Kwa wale wa quba nadhani mtaconnect dots.
Ninavyoamini Mimi Mo Dewji aliramba asali adanganye watanzania, ni ngumu sana account yake kuwa ni kweli ilidukuliwa. Atuombe radhi.