WINGER_TEREZA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 242
- 450
Habari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi.
Bado sijaelewa na sijaweza kung'amua kipi kimesababishwa kuondolea kwa hiyo blue tick ambayo inai-verify account husika. Nimepatwa na wakati mgumu maana najiuliza mbona kurasa zingine na mahayati kama hayati Dr Mengi na Hayati Maalim Seif ziko bado verified?
Wenye kuelewa anijuze, kipi kimetokea kwenye hiyo kurasa?. Tukio hilo lina maana gani katika medani za siasa na kijasusi. Pia vipi Serikali imetoa tamko lolote hadi sasa?.
Wasalam.