Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Hiyo account ilikuwa verified kipindi yuko hai hadi last week, but kuanzia leo ndio haiko verified. Ina additional, Mbona account ya Dr Mengi iko bado verified ili hali naye hatupo naye?
Imebadilishwa handle ndomaana verified inatoka means aliekua anaiendesha kabadil email pngne ataitumia yeye au waokwa 7bu wanazozijua
 
Habari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi.

Bado sijaelewa na sijaweza kung'amua kipi kimesababishwa kuondolea kwa hiyo blue tick ambayo inai-verify account husika. Nimepatwa na wakati mgumu maana najiuliza mbona kurasa zingine na mahayati kama hayati Dr Mengi na Hayati Maalim Seif ziko bado verified?

Wenye kuelewa anijuze, kipi kimetokea kwenye hiyo kurasa?. Tukio hilo lina maana gani katika medani za siasa na kijasusi. Pia vipi Serikali imetoa tamko lolote hadi sasa?.

Wasalam.

View attachment 1947750
Na watz wapo tu rais wao anafanyiwa hujuma, kwa hali hii sijai kama mtaweza kuandika Katiba mpya
 
Baada ya kufa kiongozi mzuri na watu wasiojulikana wamepotea.
Ni bora mzee wa watu amekufa mapema maana huko tulikuwa tunaelekea masharti yalianza kuwa mengi sana.
Wanawake ni wazuri sana kwenye vikoba na huyu mama kwenye vikoba yupo vizuri. Tozo zimekuwa nyingi sana.
Tunakoelekea mama atavumbua kikoba kingine. Cha tozo ya laini
1000 kwa mwezi
Acha roho mbaya kama Mama Samy
 
Baada ya kufa kiongozi mzuri na watu wasiojulikana wamepotea.
Ni bora mzee wa watu amekufa mapema maana huko tulikuwa tunaelekea masharti yalianza kuwa mengi sana.
Wanawake ni wazuri sana kwenye vikoba na huyu mama kwenye vikoba yupo vizuri. Tozo zimekuwa nyingi sana.
Tunakoelekea mama atavumbua kikoba kingine. Cha tozo ya laini
1000 kwa mwezi
Wasiojulikana ndio hao hao wamempa Mbowe kesi ya kipumbavu, shortly Samia amewabadilishia majukumu
 
Hivi mtaendelea kumwabudu na kumtukuza mtu ambaye tulimlilia Mungu amvune mpaka lini?.
Ni vyema hiyo account yake Twitter ingefutwa kabisa, huyu mtu kawaumiza wengi sana.
R.I.H Magufuli.
Tulipowaambia kuwa huyu mtu hachukui duru hamkuamini.
Haya endeleeni kumtukuza
 
Alafu nashangaa ame follow watu wanane tu wala Hakumfollow hata Makamu wake wala Waziri Mkuu wala Chama chake isipokuwa alimfollow Kagame, Kikwete na Makamba

Makamu wake si kaenda Rwanda akiwa Rais wa JMT umejifunza nini hapo?
 
Hii ndiyo maana yake..
20210921_175942.jpg
 
Back
Top Bottom