Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ile nchi ambayo haina hata uwezo wa kutengeneza toothpick.Mimi nilijua anatumia simu kutoka kwenye ile Nchi yake ya Viwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nchi ambayo haina hata uwezo wa kutengeneza toothpick.Mimi nilijua anatumia simu kutoka kwenye ile Nchi yake ya Viwanda.
Hater wa JPMRegasi kwishney alimwambiaga lissu tunapekuwa msg zake zis is gavament
Pombe ni rais bora wa kipindi chote,chuki kubwa ni wale wenye vyeti fekero.Hata mi nampenda sana na pia nakumbuka mazuri yake ....daah[emoji848]
Acha kuwapangia watu wewe kapuku,chuki zako zinazosababishwa na umasikini wako usitake kuzihamishia na kwa wengine,hivi unafikiri wewe utaishi milele hapa Duniani? au una comment ili tu upate kuwafurahisha wenye chuki za kijinga kama zako?Hivi mtaendelea kumwabudu na kumtukuza mtu ambaye tulimlilia Mungu amvune mpaka lini?.
Ni vyema hiyo account yake Twitter ingefutwa kabisa, huyu mtu kawaumiza wengi sana.
R.I.H Magufuli.
Tulipowaambia kuwa huyu mtu hachukui duru hamkuamini.
Haya endeleeni kumtukuza
Halafu wewe itakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi?IFUTWE KABISA.
Mfuate basi.Acha kuwapangia watu wewe kapuku,chuki zako zinazosababishwa na umasikini wako usitake kuzihamishia na kwa wengine,hivi unafikiri wewe utaishi milele hapa Duniani? au una comment ili tu upate kuwafurahisha wenye chuki za kijinga kama zako?
Umekariri kua member wote wa JF wapo Bongo?Mfuate basi.
Kwa mujibu wa uchumi wa Tanzania mimi sio kapuku.
Kapuku ni wewe unayebambiana kwenye daladala
Mazuri ni kujenga kwao tuMkuu yule jamaa pamoja na ule umwamba ila kiukweli aliwanyoosha watu na kuna kitu cha kujifunza na kuelezea watu.
Binafsi nilimpenda Legendary Pombe, najaribu kuiga mazuri yake.
Nyie mataga ni kama hamnazo.Mkuu yule jamaa pamoja na ule umwamba ila kiukweli aliwanyoosha watu na kuna kitu cha kujifunza na kuelezea watu.
Binafsi nilimpenda Legendary Pombe, najaribu kuiga mazuri yake.
Tuna watu wengi wenye fikra lakini hawana uthubutu na tuna watu wengi wenye uthubutu lakini hawana fikra.ni sahihi,alikuwa na mapungufu mengi ila mazuri pia alikuwa nayo, mimi huwa namkubali kwenye mambo mawili tu, kujenga sgr na kuogopwa yani nchi nzima ilimgwaya[emoji28]