Imebadilishwa handle ndomaana verified inatoka means aliekua anaiendesha kabadil email pngne ataitumia yeye au waokwa 7bu wanazozijuaHiyo account ilikuwa verified kipindi yuko hai hadi last week, but kuanzia leo ndio haiko verified. Ina additional, Mbona account ya Dr Mengi iko bado verified ili hali naye hatupo naye?
Hata mi nampenda sana na pia nakumbuka mazuri yake ....daah[emoji848]Mkuu yule jamaa pamoja na ule umwamba ila kiukweli aliwanyoosha watu na kuna kitu cha kujifunza na kuelezea watu.
Binafsi nilimpenda Legendary Pombe, najaribu kuiga mazuri yake.
Na watz wapo tu rais wao anafanyiwa hujuma, kwa hali hii sijai kama mtaweza kuandika Katiba mpyaHabari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi.
Bado sijaelewa na sijaweza kung'amua kipi kimesababishwa kuondolea kwa hiyo blue tick ambayo inai-verify account husika. Nimepatwa na wakati mgumu maana najiuliza mbona kurasa zingine na mahayati kama hayati Dr Mengi na Hayati Maalim Seif ziko bado verified?
Wenye kuelewa anijuze, kipi kimetokea kwenye hiyo kurasa?. Tukio hilo lina maana gani katika medani za siasa na kijasusi. Pia vipi Serikali imetoa tamko lolote hadi sasa?.
Wasalam.
View attachment 1947750
Magufuli alivyo mzalendo wa karne alikuwa anatumia tecno Spark 4 kama walivyo walimu wengihakuwaga na muda na hayo madude hata radio aliyokuwa anatumia ni hizi zinauzwa na machinga mitaani elfu kumi na
Magufuli alivyo mzalendo wa karne alikuwa anatumia tecno Spark 4 kama walivyo walimu wengi
Acha roho mbaya kama Mama SamyAlikuwa kiongozi mzuri sana. Bora amekufa mapema maana wanyonge walikuwa wengi
Acha roho mbaya kama Mama Samy
Wasiojulikana ndio hao hao wamempa Mbowe kesi ya kipumbavu, shortly Samia amewabadilishia majukumuBaada ya kufa kiongozi mzuri na watu wasiojulikana wamepotea.
Ni bora mzee wa watu amekufa mapema maana huko tulikuwa tunaelekea masharti yalianza kuwa mengi sana.
Wanawake ni wazuri sana kwenye vikoba na huyu mama kwenye vikoba yupo vizuri. Tozo zimekuwa nyingi sana.
Tunakoelekea mama atavumbua kikoba kingine. Cha tozo ya laini
1000 kwa mwezi
Yani Sukuma gang bado wanamfuatilia hayati. Hawaamini keshaendazake mazimaRegasi kwishney alimwambiaga lissu tunapekuwa msg zake zis is gavament
Wasiojulikana ndio hao hao wamempa Mbowe kesi ya kipumbavu, shortly Samia amewabadilishia majukumu
Alafu nashangaa ame follow watu wanane tu wala Hakumfollow hata Makamu wake wala Waziri Mkuu wala Chama chake isipokuwa alimfollow Kagame, Kikwete na Makamba
Endelea tu kustaajabu Mkuu.nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue
Mimi nakupenda wewe Witty simpendi Magufuli maana amesharest.Hata mi nampenda sana na pia nakumbuka mazuri yake ....daah[emoji848]
Tuliza akili kijana,,,,,linalozungumzwa n muhimu zaidi ya siasaRegasi kwishney alimwambiaga lissu tunapekuwa msg zake zis is gavament
Juma P. MaharageDikteta uchwara
Mimi nilijua anatumia simu kutoka kwenye ile Nchi yake ya Viwanda.Magufuli alivyo mzalendo wa karne alikuwa anatumia tecno Spark 4 kama walivyo walimu wengi