Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Acha kuwapangia watu wewe kapuku,chuki zako zinazosababishwa na umasikini wako usitake kuzihamishia na kwa wengine,hivi unafikiri wewe utaishi milele hapa Duniani? au una comment ili tu upate kuwafurahisha wenye chuki za kijinga kama zako?
 
Mfuate basi.
Kwa mujibu wa uchumi wa Tanzania mimi sio kapuku.
Kapuku ni wewe unayebambiana kwenye daladala
 
Mfuate basi.
Kwa mujibu wa uchumi wa Tanzania mimi sio kapuku.
Kapuku ni wewe unayebambiana kwenye daladala
Umekariri kua member wote wa JF wapo Bongo?
Wewe ni kapuku choka mbaya,ndio maana umejaza chuki hata kwa watu ambao walisha tangulia mbele ya haki,
Comment zako dhidi ya late President zimetawaliwa na chuki zako zilizosababishwa na umasikini wako,hakuna utawala utakao kuja kukujaza mapesa mfukoni,fikirisha bichwa hilo ili usije ukawapa watu tabu uzeeni mwako,tafuta hela upunguze chuki kiazi wewe.
 
M
Mkuu yule jamaa pamoja na ule umwamba ila kiukweli aliwanyoosha watu na kuna kitu cha kujifunza na kuelezea watu.

Binafsi nilimpenda Legendary Pombe, najaribu kuiga mazuri yake.
Mazuri ni kujenga kwao tu
 
Mkuu yule jamaa pamoja na ule umwamba ila kiukweli aliwanyoosha watu na kuna kitu cha kujifunza na kuelezea watu.

Binafsi nilimpenda Legendary Pombe, najaribu kuiga mazuri yake.
Nyie mataga ni kama hamnazo.
Aliwanyoosha watu kwani walikuwa wamepinda??
 
ni sahihi,alikuwa na mapungufu mengi ila mazuri pia alikuwa nayo, mimi huwa namkubali kwenye mambo mawili tu, kujenga sgr na kuogopwa yani nchi nzima ilimgwaya[emoji28]
Tuna watu wengi wenye fikra lakini hawana uthubutu na tuna watu wengi wenye uthubutu lakini hawana fikra.
 
Mtaondao wa twitter umeondoa blue tick kwenye account ya hayati John Pombe Magufuli!

Lakini cha kushangaza, blue tick zimeendelea kuwepo katika account za akina hayati Michael Jackson hata akina Bruce Lee!!

Hizi ni hujuma za wazi za mabeberu kwa hayati Magufuli!

Blue tick, means verified user of the respective account,
so in case of any post in the account (hackers) no one would be able to take charge as is no longer alive... amekwenda zake
 
Tunacho shukuru nikuacha account yenye followers 1m kama urithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…