Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

Yaani huyu Mange huwa anapanick sana. Yeye anafikiri habari zote ni kupost tu.Unapost uchi wa mtu kweli jamani 😡.Ajue tu uhuru una mipaka yake. Mimi naona akadese kwenye magazeti ya the sun,People,Closer n.k ili ajifunze kidogo. Wabongo wanapenda umbea yes. Ila tatizo yeye anakwenda mbali sasa.
Huyo ni 'character assassin' aliyejificha kwenye mwavuli wa umbeya / udaku.
 
Dawa ya kiburi cha mtu ni kumzibia milango ya riziki tu😂!

Aliyesema adui muombee njaa hakukosea.., atanyoosha mikono tu hata kama alikuwa shujaa!!!

Account kubinywa tu kashaanza kutia huruma za ajabu wakati alijifanyaga mwamba😂😂😂
 
Wamekabana kabali bin shingoni sasa hata hiyo app yake ya kukusanyia udaku anaikimbia
 
Yaani huyu Mange huwa anapanick sana. Yeye anafikiri habari zote ni kupost tu.Unapost uchi wa mtu kweli jamani 😡.Ajue tu uhuru una mipaka yake. Mimi naona akadese kwenye magazeti ya the sun,People,Closer n.k ili ajifunze kidogo. Wabongo wanapenda umbea yes. Ila tatizo yeye anakwenda mbali sasa.
My beautiful Victoire asante 👏🏾
 
Back
Top Bottom