Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

Huyo ni 'character assassin' aliyejificha kwenye mwavuli wa umbeya / udaku.
 
Dawa ya kiburi cha mtu ni kumzibia milango ya riziki tu😂!

Aliyesema adui muombee njaa hakukosea.., atanyoosha mikono tu hata kama alikuwa shujaa!!!

Account kubinywa tu kashaanza kutia huruma za ajabu wakati alijifanyaga mwamba😂😂😂
 
Wamekabana kabali bin shingoni sasa hata hiyo app yake ya kukusanyia udaku anaikimbia
 
My beautiful Victoire asante 👏🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…