Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

Mama anamsikiliza Sana! account itafunguliwa tu asiwe na wasiwasi dada Mange.
 
this explanation tells one thing; they (police) have hit her where it hurts.
 
Sasa wale wanaotuma pesa details zao zitakua wazi
 
Huyu mwanamke ana mdomo mchafu mpaka muda mwingine huamini kama anaulia chakula.

Damn!
 
huyu malaya kama malaya wengine,anapenda sana kufuatilia maisha ya watu wakati yeye mwenyewe mdangaji
 
Ulizoea kumchezea marahemu magu,sasa umekutana na wajuaji wenzio
 
Kwao ni fursa ya kumfunga speed governer ili awe controllable. Lakini kitu kimoja kibaya zaidi "she is smart enough"....
...............yes; but at the moment, possibly outsmarted enough
 
tahira hilo anaona kabisa nchi imefunga page za ngono yeye kafungua app anarusha video za watu za uchi alafu anatgemea malipo yapitie kwenye kampuni za kitanzania yani hajui kula na kipofu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Haaaa sasa hapa umewapa polisi charge/kesi nyingine.....watajumlisha hii na ya matumizi mabaya ya mtandao!
 
Yani anawalipisha watz pesa kwakutumia platforms zilizo chini ya BOT alafu malipo hayo yanawapa watu access za kuona video za ngono [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini naskia amevuna pesa ndegu sanaaaa. Yani naskia Ile video watu walilipia hizo buku Kwa fujo, kapata zaidi ya 100m, Kwa nilivyoskia

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Akikonda zaidi ya pale kwa mawazo,,,waliomfungia kesi wanayo maana katakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…