Baba Dayana
Senior Member
- Jul 1, 2016
- 144
- 330
Nyinyi watu mnahitaji kufanya amani na wazazi wenu kabla hawajafa. Kuweka chuki kwa uzembe wao na kutokuwepo katika maisha yako hakutakufaa chochote zaidi kuathiri wale walio karibu na wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mzee kuna mtu ulimlipia ada ya English medium?? Mbona mimi nimeandika kiswahili vizuri tuYour parents are a test for you and you’re a test for them. Accept that. Coping with difficult parents isn’t easy. They’re also human, flawed & weak just like everyone. You need to accept them for who they are. You can’t change them. The only person you can change is yourself.
Mtu kuwa mzazi si kigezo kwamba hawezi kuwa mjinga na mpumbavu.ni huu umaskini tu unatusumbua ila hata kama mzazi hakuwepo kwenye maisha yako ya makuzi usimlipe kwa kutokuwepo kwenye uzee wake. hakuna kitu cha kijinga kama kuthamini marafiki ambao hata hujakua nao ila unampotezea baba au mama ambaye alikuacha ukiwa mdogo huwezi jua ni hali gani ilimkuta akaamua kukukimbia
sawaMtu kuwa mzazi si kigezo kwamba hawezi kuwa mjinga na mpumbavu.
Hata wajinga huzaa watoto.
Na ndio hao wanazidisha umaskini duniani kwa kukwepa majukumu.
Mzazi wa namna hii hafai na hastahili huruma ya aina yeyote ile.
Hakuna huruma kwa mzazi mjinga na mpumbavu aliyeleta kiumbe duniani halafu aka kikimbia kijilee chenyewe, Halafu baadaye arudi kuomba msamaha na kutia tia huruma.
hahahaha kirahisi tu watafute wale jamaa wanaotafuta utajiri humu jfPadri wa kanisa la katoliki, ametunukiwa shahada na taasisi kubwa duniani Freemasonry,
Kwanini uteseke duniani wakati taasisi Ina uwezo wa kukutajirisha, jiunge ikiwa una kidhi vigezo hivi
Umri wako 25 - 45
Kazi yako binafsi au kipaji chako
Uwezo wa kumwaga damu mbuzi wawili wakubwa kama kiapo.
Utapewa shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.
View attachment 3064650
Endelea kuongeza michepuko, kula nyapu kila kona, zaa hovyo hovyo telekeza watoto harafu baadae utegemee huruma ya watoto.Nyinyi watu mnahitaji kufanya amani na wazazi wenu kabla hawajafa. Kuweka chuki kwa uzembe wao na kutokuwepo katika maisha yako hakutakufaa chochote zaidi kuathiri wale walio karibu na wewe.
Kuna mtu nimeona anagombana na wazazi wake kiasi kwamba amewapeleka polisiHebu tusimulie kilichokupata dear member
Habari za kuokota mitandaoni hizi😆😆😆Padri wa kanisa la katoliki, ametunukiwa shahada na taasisi kubwa duniani Freemasonry,
Kwanini uteseke duniani wakati taasisi Ina uwezo wa kukutajirisha, jiunge ikiwa una kidhi vigezo hivi
Umri wako 25 - 45
Kazi yako binafsi au kipaji chako
Uwezo wa kumwaga damu mbuzi wawili wakubwa kama kiapo.
Utapewa shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.
View attachment 3064650
Kweli kabisani huu umaskini tu unatusumbua ila hata kama mzazi hakuwepo kwenye maisha yako ya makuzi usimlipe kwa kutokuwepo kwenye uzee wake. hakuna kitu cha kijinga kama kuthamini marafiki ambao hata hujakua nao ila unampotezea baba au mama ambaye alikuacha ukiwa mdogo huwezi jua ni hali gani ilimkuta akaamua kukukimbia
Hilo balaaKuna mtu nimeona anagombana na wazazi wake kiasi kwamba amewapeleka polisi
Dooh!!Endelea kuongeza michepuko, kula nyapu kila kona, zaa hovyo hovyo telekeza watoto harafu baadae utegemee huruma ya watoto.
You gonna reap what you saw.
Na kwa sasa tumegundua kinachoitwa Laana ya wazazi ni Bosheni tu na uongo uliotungwa na wazazi wahuni.
Sijawahi iamini iyo Imani maana Mimi ni mromani catholic pure kabisa ila nitajaribu iyo Imani inginePadri wa kanisa la katoliki, ametunukiwa shahada na taasisi kubwa duniani Freemasonry,
Kwanini uteseke duniani wakati taasisi Ina uwezo wa kukutajirisha, jiunge ikiwa una kidhi vigezo hivi
Umri wako 25 - 45
Kazi yako binafsi au kipaji chako
Uwezo wa kumwaga damu mbuzi wawili wakubwa kama kiapo.
Utapewa shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.
View attachment 3064650