Acha chuki na wazazi wako

Acha chuki na wazazi wako

ni huu umaskini tu unatusumbua ila hata kama mzazi hakuwepo kwenye maisha yako ya makuzi usimlipe kwa kutokuwepo kwenye uzee wake. hakuna kitu cha kijinga kama kuthamini marafiki ambao hata hujakua nao ila unampotezea baba au mama ambaye alikuacha ukiwa mdogo huwezi jua ni hali gani ilimkuta akaamua kukukimbia
Hakuna kisingizio chochote cha kuikimbia damu yako.
 
ni huu umaskini tu unatusumbua ila hata kama mzazi hakuwepo kwenye maisha yako ya makuzi usimlipe kwa kutokuwepo kwenye uzee wake. hakuna kitu cha kijinga kama kuthamini marafiki ambao hata hujakua nao ila unampotezea baba au mama ambaye alikuacha ukiwa mdogo huwezi jua ni hali gani ilimkuta akaamua kukukimbia
Kama hakuwepo kwenye maisha yako hana utofauti na watu wengine wa kawaida
 
Mkuu hebu pitia na hapa

Nyinyi watu mnahitaji kufanya amani na wazazi wenu kabla hawajafa. Kuweka chuki kwa uzembe wao na kutokuwepo katika maisha yako hakutakufaa chochote zaidi kuathiri wale walio karibu na wewe.
 
Nilicho gundua watanzania wamechelewa kupata elimu bora na mmeishi kwa kukaririshwa maisha na stori za vijiweni.

illuminati ni taasisi kubwa ulimwenguni ambayo inasimamia kuleta umoja na usawa katika Wana familia wake mfano maraisi, wabunge, wanasheria, madaktari, wasanii, wafanya biashara, masheikh, mapadri, wachungaji na kadhalika.

Taasisi hii Ina uwezo mkubwa na inaingia kokote iwe kanisani, serikalini, wananchi, taasisi binafsi na zisizo za serikali. Hatuna ubaguzi karibu mwana familia uwe pamoja nasi.
Anzisha uzi wako mzee , huu uzi ni kwa ajili ya wazazi
 
Yes, kwa usgenzi alionifanyia nampoeleka kuzimu mwenywe namtupa huko hyyu mzee kaniharibia life
Ukiambiwa ushirikina alionifanyia huyu ibilisi acha tu huyu ni shetani fulu
Don't hold the past
Wazazi wetu wa Kiafrika ni hovyo sana yaani, Mungu anakupenda na amekuleta duniani kwa makusudi yake. Songa mbele Miss SweetyCandy candy
 
Back
Top Bottom