Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sio Chuki mzee..... Chuki vipi wakati mambo yako yanakuenda na bata unakula?Kosa nikuweka chuki kwa mzazi, alitenga mda kuhakikisha mimba yako inatungwa heshimu ilo tu bila kutenga mda wao huenda usingekuwepo duniani
Sawa Nyie ambao mko ndani ya familia mnajua zaidiHamna zile ni ishu zakifamilia wewe mtu wa nje usikaze sana kichwa kwamba diamond anamchukia baba ake
Pole sana ndugu, inaonesha una maumivu makubwa sana moyoni ila usimwekee mzazi chuki sio vizuriThere you are. Na nakuhakikishia wazazi wapuuzi huwa wana misemo kama hii ya Mleta mada.
Wapo, wengine wanaapa kabisa kwa wazazi wao watawaua yaani Wana chuki na wazazi wao sanaSio Chuki mzee..... Chuki vipi wakati mambo yako yanakuenda na bata unakula?
Hebu tusimulie vizuri kuna mtu kamuua baba yake?
Sava biyeekomasava
Nyinyi watu mnahitaji kufanya amani na wazazi wenu kabla hawajafa. Kuweka chuki kwa uzembe wao na kutokuwepo katika maisha yako hakutakufaa chochote zaidi kuathiri wale walio karibu na wewe.
Nakazia.Endelea kuongeza michepuko, kula nyapu kila kona, zaa hovyo hovyo telekeza watoto harafu baadae utegemee huruma ya watoto.
You gonna reap what you saw.
Na kwa sasa tumegundua kinachoitwa Laana ya wazazi ni Bosheni tu na uongo uliotungwa na wazazi wahuni.
Karibu ndugu yangu tuwe familia moja, hakika utafurahiaSijawahi iamini iyo Imani maana Mimi ni mromani catholic pure kabisa ila nitajaribu iyo Imani ingine
Mwezi wa 10 tunafanya usaili kwa Wana taasisi wapya ambao wamekubali kuwa Wana familia yetu basi ndugu Bush Dokta nitakualika katika jumuishi chakula cha jioni wakati usaili ukifanyika uje ujionee kwa macho mambo makubwa na mazuri hakika kutoka katika taasisi yetu kubwa na nguvu duniani illuminati.Habari za kuokota mitandaoni hizi😆😆😆
Nilicho gundua watanzania wamechelewa kupata elimu bora na mmeishi kwa kukaririshwa maisha na stori za vijiweni.hahahaha kirahisi tu watafute wale jamaa wanaotafuta utajiri humu jf
We jamaa acha mikwara....familia yenu iko wapi? Ndio huko mnakula supu ya nyoka?Mwezi wa 10 tunafanya usaili kwa Wana taasisi wapya ambao wamekubali kuwa Wana familia yetu basi ndugu Bush Dokta nitakualika katika jumuishi chakula cha jioni wakati usaili ukifanyika uje ujionee kwa macho mambo makubwa na mazuri hakika kutoka katika taasisi yetu kubwa na nguvu duniani illuminati.
Hiyo iluminati inayoitwa taasisi kubwa lakini hadi leo inazungumzwa kinadharia tu ndio ukubwa gani huo?Nilicho gundua watanzania wamechelewa kupata elimu bora na mmeishi kwa kukaririshwa maisha na stori za vijiweni.
illuminati ni taasisi kubwa ulimwenguni ambayo inasimamia kuleta umoja na usawa katika Wana familia wake mfano maraisi, wabunge, wanasheria, madaktari, wasanii, wafanya biashara, masheikh, mapadri, wachungaji na kadhalika.
Taasisi hii Ina uwezo mkubwa na inaingia kokote iwe kanisani, serikalini, wananchi, taasisi binafsi na zisizo za serikali. Hatuna ubaguzi karibu mwana familia uwe pamoja nasi.
Duuh hii sasa sio kawaida. Ni ugonjwa huo Kaka.Wapo, wengine wanaapa kabisa kwa wazazi wao watawaua yaani Wana chuki na wazazi wao sana
illuminati ni taasisi kubwa duniani, haipo kwa nadharia ipo kwa uhalisia ila haujawahi kuwa mwanafamilia huwezi kuelewa chochote zaidi ya kusikia stori za kijiweni.Hiyo iluminati inayoitwa taasisi kubwa lakini hadi leo inazungumzwa kinadharia tu ndio ukubwa gani huo?
Taasisi yetu makini na kubwa ulimwenguni hatupo kwa ajili ya ubishani au kumwaminisha mtu kuhusu familia yetu. Kila mmoja abaki na Imani yake. Kila la kheri mkuu.We jamaa acha mikwara....familia yenu iko wapi? Ndio huko mnakula supu ya nyoka?
tatizo sio kuingia najiuliza niingie ili iweje mkuu kama ni kaugali nakapata tena kenye amani sihitaji umaarufu zaidi ni kua na uhakika wanangu wanaishi vyema na familia inasonga.... ila sio mbaya kwakua tunatofautiana mtazamo ila mm nimechagua kuishi kwa kujitafutiaNilicho gundua watanzania wamechelewa kupata elimu bora na mmeishi kwa kukaririshwa maisha na stori za vijiweni.
illuminati ni taasisi kubwa ulimwenguni ambayo inasimamia kuleta umoja na usawa katika Wana familia wake mfano maraisi, wabunge, wanasheria, madaktari, wasanii, wafanya biashara, masheikh, mapadri, wachungaji na kadhalika.
Taasisi hii Ina uwezo mkubwa na inaingia kokote iwe kanisani, serikalini, wananchi, taasisi binafsi na zisizo za serikali. Hatuna ubaguzi karibu mwana familia uwe pamoja nas
Amiin mkuu na hakika mola mlezi akujalie katika utafutaji wako ila usisahau kumwomba na kutimiza sheria zake. Kila la kheri mkuu.tatizo sio kuingia najiuliza niingie ili iweje mkuu kama ni kaugali nakapata tena kenye amani sihitaji umaarufu zaidi ni kua na uhakika wanangu wanaishi vyema na familia inasonga.... ila sio mbaya kwakua tunatofautiana mtazamo ila mm nimechagua kuishi kwa kujitafutia
pamoja sanaAmiin mkuu na hakika mola mlezi akujalie katika utafutaji wako ila usisahau kumwomba na kutimiza sheria zake. Kila la kheri mkuu.