Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Y nipotezee wakati nilishanga niitumikie nchi yangu,huu ni uungwana kweli???
Basi kubali matokeo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kubali matokeo...
Sijaelewa ulichoandika!!Y nipotezee wakati nilishanga niitumikie nchi yangu,huu ni uungwana kweli???
Kamuone Maalim Seif,kwani alisema ACT wana fomu nyingi lakini hawaoni watia nia wengine kwenye ngazi ya kugombea uraisi Zanzibar,Pia fomu nyingine anazo Mbowe,Mbatia ,Zitto ni wewe tu.Sasa mie nilitaka kugombea urais kupitia chama changu bt fomu ilichapishwa moja tu sasa hapo utafanyaje?
Mchungaji Msigwa naye vipi?Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Hivi na wewe ni lini utachukua fomu ili na wewe sasa uanze kulisaidia Taifa lako, maana mmesomeshwa na serikali yenu lkn hamtaki kurudi toka huko, ni Wakati wa kurudisha faida ya nchi yako mkuu
ana hasira leo kabebeshwa box tatu-tatu kwa bega.Too low Mtani….hukuwa na haja ya kunianzishia uzi. Nina wasiwasi hujaelewa nilichoandika, umekurupuka tu.
Maana ya mabwana wawili ni kazi/majukumu ya aina mbili yasiyofanana. Mfano moja la kutaka watu wamrudie Muumba, jingine la kupiga kelele kuujenga ulimwengu (reli, madaraja, bombardier).Kwan siasa nayo ni bwana?
Sijawahi kumuona popote kwenye miaka yake ya ubunge akiwa kanisani anahubiri, kama una video yake hebu niwekee hapa.Mchungaji Msigwa naye vipi?
Mch.Msigwa je?Maana ya mabwana wawili ni kazi/majukumu ya aina mbili yasiyofanana. Mfano moja la kutaka watu wamrudie Muumba, jingine la kupiga kelele kuujenga ulimwengu (reli, madaraja, bombardier).
Na wao wakachukue tu ili wagombee!Mkuu Nyani Ngabu umewapiga kwenye kende kabisaa!
Yani hakuna watu wajinga kama washabiki wa chadema, yani eti yamekaa yanalalamikia wanaochukua form za kugombea huko ccm, hii si aibu hii?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ajabu ni kwamba wanaolalamika watu kuchukua fomu za CCM ni wafuasi wa upinzani.Unajihisi tu. Wala sijakulenga wewe binafsi.
Nimeona wapo wengi wa kutosha wanaolalamika.
Hauko peke yako.
hayo maandiko ni ajil ya wanakondoo(watu wajinga) yeye kama muongoza kondoo si mjinga ndo maana anautaka ubunge.Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
hayo maandiko ni ajil ya wanakondoo(watu wajinga) yeye kama muongoza kondoo si mjinga ndo maana anautaka ubunge.Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Sijaelewa ulichoandika!!