Uchaguzi 2020 Acha kulalamika, nawe kachukue fomu

Hivi na wewe ni lini utachukua fomu ili na wewe sasa uanze kulisaidia Taifa lako, maana mmesomeshwa na serikali yenu lkn hamtaki kurudi toka huko, ni Wakati wa kurudisha faida ya nchi yako mkuu
 
Sasa mie nilitaka kugombea urais kupitia chama changu bt fomu ilichapishwa moja tu sasa hapo utafanyaje?
Kamuone Maalim Seif,kwani alisema ACT wana fomu nyingi lakini hawaoni watia nia wengine kwenye ngazi ya kugombea uraisi Zanzibar,Pia fomu nyingine anazo Mbowe,Mbatia ,Zitto ni wewe tu.
 
CHADEMA wamekosa watia nia wenye sifa majimbo mengi tu, baadaye waje kulialia wameibiwa kura.
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Mchungaji Msigwa naye vipi?
 
Hivi na wewe ni lini utachukua fomu ili na wewe sasa uanze kulisaidia Taifa lako, maana mmesomeshwa na serikali yenu lkn hamtaki kurudi toka huko, ni Wakati wa kurudisha faida ya nchi yako mkuu

Mimi nimesomeshwa wapi na serikali?

Na “kulisaidia” taifa si lazima kugombea nafasi ya kisiasa.
 
Kwan siasa nayo ni bwana?
Maana ya mabwana wawili ni kazi/majukumu ya aina mbili yasiyofanana. Mfano moja la kutaka watu wamrudie Muumba, jingine la kupiga kelele kuujenga ulimwengu (reli, madaraja, bombardier).
 
Mkuu Nyani Ngabu umewapiga kwenye kende kabisaa!
Yani hakuna watu wajinga kama washabiki wa chadema, yani eti yamekaa yanalalamikia wanaochukua form za kugombea huko ccm, hii si aibu hii?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Eti hata mastaa wa ngono kama Gwaji Boy naowanaomba ridhaa kwa wanachama.
 
Maana ya mabwana wawili ni kazi/majukumu ya aina mbili yasiyofanana. Mfano moja la kutaka watu wamrudie Muumba, jingine la kupiga kelele kuujenga ulimwengu (reli, madaraja, bombardier).
Mch.Msigwa je?
 
Mkuu Nyani Ngabu umewapiga kwenye kende kabisaa!
Yani hakuna watu wajinga kama washabiki wa chadema, yani eti yamekaa yanalalamikia wanaochukua form za kugombea huko ccm, hii si aibu hii?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Na wao wakachukue tu ili wagombee!
 
Zikianza na za udiwani jamani tufurike mafuriko kuchukua fomu wakuu
 
Unajihisi tu. Wala sijakulenga wewe binafsi.

Nimeona wapo wengi wa kutosha wanaolalamika.

Hauko peke yako.
Ajabu ni kwamba wanaolalamika watu kuchukua fomu za CCM ni wafuasi wa upinzani.
Sijasikia wala kuona mtu wa CCM akilalamika kuhusu wanaochukua fomu vyama pinzani.
Kuna watu wenye matatizo ya kutofautisha demokrasia kimaneno na kivitendo.
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
hayo maandiko ni ajil ya wanakondoo(watu wajinga) yeye kama muongoza kondoo si mjinga ndo maana anautaka ubunge.
 
Back
Top Bottom