Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kamuone Maalim Seif,kwani alisema ACT wana fomu nyingi lakini hawaoni watia nia wengine kwenye ngazi ya kugombea uraisi Zanzibar,Pia fomu nyingine anazo Mbowe,Mbatia ,Zitto ni wewe tu.
Mkuu Nyani Ngabu umewapiga kwenye kende kabisaa!
Yani hakuna watu wajinga kama washabiki wa chadema, yani eti yamekaa yanalalamikia wanaochukua form za kugombea huko ccm, hii si aibu hii?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kakulenga wewe wakili msomiToo low Mtani….hukuwa na haja ya kunianzishia uzi. Nina wasiwasi hujaelewa nilichoandika, umekurupuka tu.
Bado sikuelewi!Y nipotezee ilihal nilitaka kutumikia nchi yangu?
Endelea kupiga mwenzako anasonga mbele unadhan unavyompiga wewe unampunguzia nin jitu zima ovyoooooWacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Maandiko yapi hayo unayo ya sema? Unadhani Gwajima hayajui maandiko? Daniel alikuwa mtumishi wa Mungu lakini pia alikuwa mwanasiasa, vipi mfalme Daudi hebu acheni kuleta polojo zenu hapa kagombee wewe basiWacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
We mjinga naona usipomtaja Gwajima unawasha tu alafu nawashangaa unamjadili mtu ambaye hata hakufahamu na hata ukimtukana hakujibu unaonekana pimbi na mjinga Sana na yule ndo kiboko yenu tripu hii atawachapa mpaka mkomeee Mwana wa Lucifer'sEti hata mastaa wa ngono kama Gwaji Boy naowanaomba ridhaa kwa wanachama.
Vyama vipo vingi nenda huko kwingine, sizani kwakina mhe.Dovutwa kumejaa nafasi zitakuwepo[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ya urais imechapishwa moja tu
Acha ujinga jaribu na wewe uwone Kama utashindwa kuwatumikia mabwana wa wili!, Uweze kuiudumia michepuko yak Zaid ya kumi wewe ,yeye ashindwe kwann wakati siasa ni siasa na kumtumikia mungu ni witoWacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Acha mawazo mgandoWacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Tumnyang'anye tutoe photocopy?!!!!Kama form ni moja tu tunafanyaje sasa hapo mkuu?
Hili ndo tatizo la kukaririshwa mafundisho ya dini zilizoletwa na wakoloni. Hilo andiko lililotafsiriwa kwamba huwezi kumtumikia Mungu na mali kiingereza chake ni "you can't serve God and mammon" hiyo mammon ni muungu wa pesa wa Kigiriki. Tafsiri sahihi ilitakiwa iwe "huwezi kumtumikia Mungu na shetani" maana siku hizi watu wasio na Mungu wanamilikishwa pesa na shetani.Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Umesema!!!!!!!!!!Eti hata mastaa wa ngono kama Gwaji Boy naowanaomba ridhaa kwa wanachama.
Mjinga wewe unepoteza mda wako kumfuatilia gwaji kwa Mambo ya sio na msingi,hayo maandiko ni ajil ya wanakondoo(watu wajinga) yeye kama muongoza kondoo si mjinga ndo maana anautaka ubunge.
Wewe ukome au kwakua yakwako ayajawekwa wazi nakujua vizuri ndgu wewe sio wa kusema hivyiUmesema!!!!!!!!!!
Lete ushahidi. Ukimzushia mtumishi wa Mungu mambo yasiyokuwako subiri kuangukiwa na laana.Eti hata mastaa wa ngono kama Gwaji Boy naowanaomba ridhaa kwa wanachama.
Ajabu ni kwamba wanaolalamika watu kuchukua fomu za CCM ni wafuasi wa upinzani.
Sijasikia wala kuona mtu wa CCM akilalamika kuhusu wanaochukua fomu vyama pinzani.
Kuna watu wenye matatizo ya kutofautisha demokrasia kimaneno na kivitendo.
Bado sikuelewi!
Kwani umeishia darasa la ngapi wewe?