Uchaguzi 2020 Acha kulalamika, nawe kachukue fomu

Hapana ndugu mm npo chama chakavu,kwann unanitaka niende huko?
Kamuone Maalim Seif,kwani alisema ACT wana fomu nyingi lakini hawaoni watia nia wengine kwenye ngazi ya kugombea uraisi Zanzibar,Pia fomu nyingine anazo Mbowe,Mbatia ,Zitto ni wewe tu.
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Endelea kupiga mwenzako anasonga mbele unadhan unavyompiga wewe unampunguzia nin jitu zima ovyooooo
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Maandiko yapi hayo unayo ya sema? Unadhani Gwajima hayajui maandiko? Daniel alikuwa mtumishi wa Mungu lakini pia alikuwa mwanasiasa, vipi mfalme Daudi hebu acheni kuleta polojo zenu hapa kagombee wewe basi
 
Eti hata mastaa wa ngono kama Gwaji Boy naowanaomba ridhaa kwa wanachama.
We mjinga naona usipomtaja Gwajima unawasha tu alafu nawashangaa unamjadili mtu ambaye hata hakufahamu na hata ukimtukana hakujibu unaonekana pimbi na mjinga Sana na yule ndo kiboko yenu tripu hii atawachapa mpaka mkomeee Mwana wa Lucifer's
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Acha ujinga jaribu na wewe uwone Kama utashindwa kuwatumikia mabwana wa wili!, Uweze kuiudumia michepuko yak Zaid ya kumi wewe ,yeye ashindwe kwann wakati siasa ni siasa na kumtumikia mungu ni wito
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Acha mawazo mgando
 
Msema kweli watanzania tumezidi kwa maneno ,ina maana sana kufanya mambo kwa vitendo tuchukue fomu mda bado upo kama kweli kuliko kuwabeza waliothubutu.
 
Wacha pressure, hata mimi nilipinga, napinga, na nitapinga siku zote Gwajima na watu wengine wanaojiita wa Mungu kuonesha dalili za kuitamani siasa, wale tayari wana jukumu la kuwachunga kondoo zao, hawawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, hata maandiko matakatifu hayataki jambo hilo.
Hili ndo tatizo la kukaririshwa mafundisho ya dini zilizoletwa na wakoloni. Hilo andiko lililotafsiriwa kwamba huwezi kumtumikia Mungu na mali kiingereza chake ni "you can't serve God and mammon" hiyo mammon ni muungu wa pesa wa Kigiriki. Tafsiri sahihi ilitakiwa iwe "huwezi kumtumikia Mungu na shetani" maana siku hizi watu wasio na Mungu wanamilikishwa pesa na shetani.

Kwa hiyo jiongeze. Hilo dini uliyofundishwa na wakoloni, ebu fuatilia ujue ukweli wake. Mengine mlidanganywa ili mtawaliwe kirahisi.
 
Nadhan ulikuwa mtt wakat katibu wako alipolalama kuhusiana na watia nia wa urais ZNZ
Ajabu ni kwamba wanaolalamika watu kuchukua fomu za CCM ni wafuasi wa upinzani.
Sijasikia wala kuona mtu wa CCM akilalamika kuhusu wanaochukua fomu vyama pinzani.
Kuna watu wenye matatizo ya kutofautisha demokrasia kimaneno na kivitendo.
 
Back
Top Bottom