Acha lawama, ni wewe ndiye unayepaswa kuwajibika juu ya maisha yako

Ingia mwenyewe barabarani kwasababu wewe ni masikini wenzio sisi sio masikini tunafurahia nchi
One of the weaknesses of individuals who are cowardly, selfish, and ignorant is their tendency to use the word 'we' instead of 'I.'
 
I recently learnt that, as a result of an operation led by a man named Mafwele, your lives may be in danger. If so, do you still have sole responsibility for your safety and well-being?
Yes! Kill him first....
 
Mazingira wezeshi
Watu hawaombi kuwekewa hela mfukoni ila wanalalamikia mazingira ya kupata hela yakiwa hayaeleweki au hayapo kabisa.

Weka mifumo ya kazi sawa watu wafanye kazi wapate maslahi yao wajenge uchumi. Ondoa kodi gandamizi ili wajasiriamali waweze kusimama na kukua kiuchumi. Ondoa ubadhirifu ili kodi zilete tija kwa walipa kodi.
 
Uwajibikaji ukizingatiwa, trust me mazingira yanajitengeneza yenyewe.
 
Point muhimu Sana hii. Naamini Kwa yeyote atayesoma hii coment Leo ataacha rasmi kuilaumu serikali.
 
Tatizo connection
 
Hata ww uliyeandika huu Uzi pia unapenda kulaumu kwa sababu umewalaumu wanaopenda kulaumu...
 
Hata ww uliyeandika huu Uzi pia unapenda kulaumu kwa sababu umewalaumu wanaopenda kulaumu...
Lengo ni kuwajibika na kuacha lawama, ndiyo hata Mimi ninapaswa kujifunza kutoka kwako.
 
Nimejifunza kitu hapa, Tena kwa evidence, Kuna kipindi nilijilaumu sanaa nilikosa amani kwa kipind cha mwenzi mmoja ivi.. kumbe ilikua “blame game” nimejifunza kupitia andiko lako mkuu, Asante
 
Nimejifunza kitu hapa, Tena kwa evidence, Kuna kipindi nilijilaumu sanaa nilikosa amani kwa kipind cha mwenzi mmoja ivi.. kumbe ilikua “blame game” nimejifunza kupitia andiko lako mkuu, Asante
Mungu akubariki na akuwezeshe kupiga hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…