Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Ni kiona mwanamke anatesaka kwenye ndoa yake simuonee huruma wengi wana tendea wanaumme walio wafikisha hapo vibayanawasihi sana ndugu zangu, usisomeshe mwanamke kwa lengo la kuja kumuoa baada ya Masomo.
Nakwambia kadri unavyomsomesha ndivyo anavyokuona useless na sio level zake.
Acheni wasomeshwe na wazazi wao, wewe nenda katimize jukumu la kuoa na kujenga familia
View attachment 2214502
Akili zako zinaendana na dp yakoMkuu usitupangie maisha na wala usitupangie matumizi ya hela zetu.
Kwani nikimsimesha na akaja kuniacha wewe unaumia nini?
Sisi wengine hatusomeshi kuja kuoa bali tunasomesha ili kufanya long term investment. Nikimaanisha tunawekeza kupata mbunye muda wote tunaotaka.
Mwanamke kuku disappoint sio lazima uwe umemsimesha tu.
Mwanamke msaidie bila kutegemea chochote zaidi ya mbunye yake. Kama anakupa uchi, hiyo inatosha kabisa.
Kwani kuna garantee kwamba ukishasomesha utaendelea kuiona mbunye? wewe hujawahi kuangukiwa na kitu kizito kichwani acha kuleta ujuaji...Mkuu usitupangie maisha na wala usitupangie matumizi ya hela zetu.
Kwani nikimsimesha na akaja kuniacha wewe unaumia nini?
Sisi wengine hatusomeshi kuja kuoa bali tunasomesha ili kufanya long term investment. Nikimaanisha tunawekeza kupata mbunye muda wote tunaotaka.
Mwanamke kuku disappoint sio lazima uwe umemsimesha tu.
Mwanamke msaidie bila kutegemea chochote zaidi ya mbunye yake. Kama anakupa uchi, hiyo inatosha kabisa.
Hawaelewagi hawanawasihi sana ndugu zangu, usisomeshe mwanamke kwa lengo la kuja kumuoa baada ya Masomo.
Nakwambia kadri unavyomsomesha ndivyo anavyokuona useless na sio level zake.
Acheni wasomeshwe na wazazi wao, wewe nenda katimize jukumu la kuoa na kujenga familia
View attachment 2214502