mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ehee ipi Sasa?Natka kazi nyepesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehee ipi Sasa?Natka kazi nyepesi
Kwa mtu alie pevuka nirahisi kutambua kwamba haujui unacho kitafuta, haujiamini ama ulikwenda shule lakini haukuelimikaHamna
Basi lala ndani huwezi kufanya chochoteHamna
She is just trolling you guys sidhan km yupo serious na alichoandika angalia the way anajibu.Kwa mtu alie pevuka nirahisi kutambua kwamba haujui unacho kitafuta, haujiamini ama ulikwenda shule lakini haukuelimika
hapana Ni OFHautani.scam
, Wew kaa nyumbani tuNajifunika.kabisa
Hapana lala tu mkuuKukosa hela hakupendezi..
Ni hayo tu
Ngoja tuone😂😂😂Haya maisha mliyachagua na makomwe yenu. Miaka yote wanaume walikuwa comfortable kuishi na mwanamke ambaye hana kipato na watagharamikia 100% ya gharama zote bila kuongea au kuona wanatumika.
Ila ujuaji wenu,kupangia wanaume matumizi ya pesa zao,utulivu zero kutaka kila mwanaume awe anakukula halafu akupe chochote ndio imewafikisha hapa.
Na bado,saa hii mnatumia miili, ngoja umri usogee hali iwe tete,mtajua hamjui.
Ndio nijiongeze vijana, naona binti hana mwanaume wa kumfanya busy...😜She is just trolling you guys sidhan km yupo serious na alichoandika angalia the way anajibu.
Ulilala! Amka.Kukosa hela hakupendezi..
Ni hayo tu